Sakata la mtoto wa Amber Lulu, Harmorapa akamatwa na Polisi

Approach ya tatizo hili, unaendaje kumteka mtu badala ya kumshitaki?
Huyo Haromrapa ni mpuuzi tu, Nafikiri alipigwa mkwara tu ila bado akaona ni fursa pia. Mwisho akabidi afate sheria sasa.
 
Huyo Haromrapa ni mpuuzi tu, Nafikiri alipigwa mkwara tu ila bado akaona ni fursa pia. Mwisho akabidi afate sheria sasa.
Wakuu tuliache hili, anayejua ukweli wote ni Amberlulu kama aliliwa na Hamorapa
 
Hata ulaya kuna raia wenye akili mbovu kuliko hizo
 
Waandishi wa Online tv hiyo ni bonge la dili
 
Wakuu tuliache hili, anayejua ukweli wote ni Amberlulu kama aliliwa na Hamorapa
Mm si mganga wa kienyeji ila kwa hekima nilizonazo, na jinsi ninavyomfahamu huyu kijana hakika alikuwa anatafuta kiki tu.
 
Mm si mganga wa kienyeji ila kwa hekima nilizonazo, na jinsi ninavyomfahamu huyu kijana hakika alikuwa anatafuta kiki tu.
Je! Uliwahi kuona zile picha wanazokumbatiana?
Hivi hujui kuwa ukiwa na laki 2 tu unaweza kutembea na hawa madanga ya insta regrdless sura yako iko kama wapuliza moto?
Haya mambo tuwaachiwe wao wakuu
 
Je! Uliwahi kuona zile picha wanazokumbatiana?
Hivi hujui kuwa ukiwa na laki 2 tu unaweza kutembea na hawa madanga ya insta regrdless sura yako iko kama wapuliza moto?
Haya mambo tuwaachiwe wao wakuu
Wasanii wetu Wana tabia hiyo wakishirikiana katika wimbo, uvujisha picha ili isemekane wanadate mwisho wa siku wimbo unaachiwa ili kuboost mziki wao. Picha si kithibitisho tena picha Kama zile.
 
Mama ameamua ni Botion wangemalizana hivyo
Lakini harmorapper nae ni mtu wa kuweka press na mic nyingi kabisa wakati mm hata kipaza sauti cha kanisa letu sijakitia mkononi wallah 🤣🤣
 
Kweli hatuchagui wazazi, lakini imagine, mamaako ni Amber Lulu na babaako ndio awe Harmorapa. Lazima uwe maarufu town kabla ujafikisha miaka 10
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mama ameamua ni Botion wangemalizana hivyo
Lakini harmorapper nae ni mtu wa kuweka press na mic nyingi kabisa wakati mm hata kipaza sauti cha kanisa letu sijakitia mkononi wallah [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…