Nimemuona sana maeneo ila sikujua kama alitoka muda mrefuAlitoka muda
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimemuona sana maeneo ila sikujua kama alitoka muda mrefuAlitoka muda
Ova
Hakuna aliyetumia kondom hata mmoja? Duu
Huyo Haromrapa ni mpuuzi tu, Nafikiri alipigwa mkwara tu ila bado akaona ni fursa pia. Mwisho akabidi afate sheria sasa.Approach ya tatizo hili, unaendaje kumteka mtu badala ya kumshitaki?
Wakuu tuliache hili, anayejua ukweli wote ni Amberlulu kama aliliwa na HamorapaHuyo Haromrapa ni mpuuzi tu, Nafikiri alipigwa mkwara tu ila bado akaona ni fursa pia. Mwisho akabidi afate sheria sasa.
Hata ulaya kuna raia wenye akili mbovu kuliko hizoMavijana ya ki Tz ndio mambo yao hayo, alafu yakitoka hapo utasikia wakenya wasije wanakuja kuchukua ajira zetu mara mama Samia usitoe vibali vya kazi kwa wageni........., sasa hivi ukiwa na kampuni yako ndio unategemewa kuwaajiri vijana kaliba ya Harmorapa na Huyo nani sijui Botion sijui au huyo dada aliyejifugua na team zao
Waandishi wa Online tv hiyo ni bonge la diliSasa hao vijana ndio watulize pumbyu zao ...
Kama kuna mtu anaona mtoto ni wake na ananyimwa haki yake, mahakama zipo na sio kuanza kuweka press conference...
Nawashangaa hata hao wana habari waoitikia mwito/mwaliko wa press conference kama hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm si mganga wa kienyeji ila kwa hekima nilizonazo, na jinsi ninavyomfahamu huyu kijana hakika alikuwa anatafuta kiki tu.Wakuu tuliache hili, anayejua ukweli wote ni Amberlulu kama aliliwa na Hamorapa
Naona naye yuko ndani tenaAlitoka muda
Ova
Je! Uliwahi kuona zile picha wanazokumbatiana?Mm si mganga wa kienyeji ila kwa hekima nilizonazo, na jinsi ninavyomfahamu huyu kijana hakika alikuwa anatafuta kiki tu.
Wasanii wetu Wana tabia hiyo wakishirikiana katika wimbo, uvujisha picha ili isemekane wanadate mwisho wa siku wimbo unaachiwa ili kuboost mziki wao. Picha si kithibitisho tena picha Kama zile.Je! Uliwahi kuona zile picha wanazokumbatiana?
Hivi hujui kuwa ukiwa na laki 2 tu unaweza kutembea na hawa madanga ya insta regrdless sura yako iko kama wapuliza moto?
Haya mambo tuwaachiwe wao wakuu
London imekua ni option ya mwisho kabisa kabisaHatari been fire
Hii nchi ina watu wa ajabu sana.Kizazi cha vijana wapumbavu wapumbavu tu, sasa akatoe ushahidi huyo mtoto ni wake kwa maana gani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli hatuchagui wazazi, lakini imagine, mamaako ni Amber Lulu na babaako ndio awe Harmorapa. Lazima uwe maarufu town kabla ujafikisha miaka 10
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mama ameamua ni Botion wangemalizana hivyo
Lakini harmorapper nae ni mtu wa kuweka press na mic nyingi kabisa wakati mm hata kipaza sauti cha kanisa letu sijakitia mkononi wallah [emoji1787][emoji1787]