Sala ya Iddi kitoka Msikiti Mkuu wa Bakwata, Kinondoni DSM: Mgeni Rasmi Baraza la Iddi ni Rais Samia, JK, Salma, Mchengerwa Ndani!. Eid Mubarak!

Hivi kwenye swala za misikiti mingine kama:
Masjid al-Nabawi
Masjid al-Haram
Imam Reza

Nao wanafanya kama tunachokifanya Tanzania?! Mwanamke anatoa hutuba!?? 😃 Hii nadhani ni Tanzania pekee duniani ndo tumepata kuiona
acha upuuzi ww wapi uliona mwanamke akatoa hotuba msikitini..umeambiwa samia atakua mgeni rasmi wa baraza la Eid huko ukumbini wa mikutano mwalimu nyerere baadae mchana..sio ww unageuza maana unadai ugeni rasmi ndani ya swala msikitini..shenz acha ujinga
 
Umeandika kwa jazba zako kubwa sana, pole inaonekana ulifunga kwa taabu sana! Upo sahihi na wala sina nia ya kukutusi wala kupingana na wewe! Jazakallah khair Sheikh!
 
Duh aiseee hatimae mwanamke anahesabika ugeni rasmi msikitini
Baraza la Iddi halifanyiki msikitini bali katika ukumbi wa JNICC.

Baraza la Iddi sio ibada kwahiyo mgeni rasmi anaweza kuwa yeyote hata ambaye sio muislam.

Ndiyo maana pale msikitini Kinondoni aliyeanza kutajwa kutoka ni Rais mstaafu Jakaya Kikwete na sio Rais Samia kwakuwa walikuwa kwenye ibada rasmi.
 
Hivi kwenye swala za misikiti mingine kama:
Masjid al-Nabawi
Masjid al-Haram
Imam Reza

Nao wanafanya kama tunachokifanya Tanzania?! Mwanamke anatoa hutuba!?? 😃 Hii nadhani ni Tanzania pekee duniani ndo tumepata kuiona
Ni ujinga tu wa baadhi ya ndugu zetu waislamu.....

Katika msikiti wa MASJID NABAWI pembeni yake kulikuwa na chumba cha mama yetu Sayyidatina Aisha R A...visa ni vingi mno vya utukufu wa wanawake misikitini.....

FYI Mtawala huwa hana JINSI.....mtawala hata akiwa ni MTOTO wa kike anatiiwa vyema tu na makundi yote.....

#Tupanue fikra!

#Taqqabal Allahu minna wa minkum , amin!
 
acha upuuzi ww wapi uliona mwanamke akatoa hotuba msikitini..umeambiwa samia atakua mgeni rasmi wa baraza la Eid huko ukumbini wa mikutano mwalimu nyerere baadae mchana..sio ww unageuza maana unadai ugeni rasmi ndani ya swala msikitini..shenz acha ujinga
Sasa si umjibu tu taratibu aisee? Jazba za nini asubuhi yote hii tena ikiwa leo ni siku ya Kheri?
 
Hivi kwenye swala za misikiti mingine kama:
Masjid al-Nabawi
Masjid al-Haram
Imam Reza

Nao wanafanya kama tunachokifanya Tanzania?! Mwanamke anatoa hutuba!?? 😃 Hii nadhani ni Tanzania pekee duniani ndo tumepata kuiona
Baraza la shura Linasemaje
 
Hivi kwenye swala za misikiti mingine kama:
Masjid al-Nabawi
Masjid al-Haram
Imam Reza

Nao wanafanya kama tunachokifanya Tanzania?! Mwanamke anatoa hutuba!?? 😃 Hii nadhani ni Tanzania pekee duniani ndo tumepata kuiona
Hii ni kufuru kubwa.
 
Hakuna mwanamke aliyetoa hotuba msikitini mkuu.

Swala ya Eid imeongozwa na masheikh wanaume.

Hata Rais Samia alienda msikitini kama mtu wa kawaida tu hakutoa hata neno moja.

Kwenye baraza la Iddi Rais Samia atakuwa mgeni rasmi kwasababu baraza la Iddi sio ibada bali mgeni rasmi anaweza kuwa yeyote hata asiyekuwa muislamu.
 
Back
Top Bottom