Sala ya Iddi kitoka Msikiti Mkuu wa Bakwata, Kinondoni DSM: Mgeni Rasmi Baraza la Iddi ni Rais Samia, JK, Salma, Mchengerwa Ndani!. Eid Mubarak!

Sala ya Iddi kitoka Msikiti Mkuu wa Bakwata, Kinondoni DSM: Mgeni Rasmi Baraza la Iddi ni Rais Samia, JK, Salma, Mchengerwa Ndani!. Eid Mubarak!

Nadhani kilichokusukuma ni ule ukuu wake mwingine, basi sawa
Kwenye hierarchy ya ukuu, baada ya rais na VP, PM, Spika na CJ, Rais wa ZNZ na wale VP1, VP2, wanafuata mawaziri!, ni watu wakubwa sana wa nchi hii!. Huyu ni mkubwa kuliko hata Chairman wa chama chako!, lazima mheshimu!, huwezi kumuita kuwa ni mtu mdogo sana!.
P
 
Nachungulia wee, kama kuna sauti kutoka within hivi..
No leo hakuna the voices from within, kama HII, hii sauti ya the voices from within, kama ni sauti yake YEYE, then, hata mfanye nini, its not over until its over!, lazima itimie!.
P
 
Kwenye hierarchy ya ukuu, baada ya rais na VP, PM, Spika na CJ, Rais wa ZNZ na wale VP1, VP2, wanafuata mawaziri!, ni watu wakubwa sana wa nchi hii!. Huyu ni mkubwa kuliko hata Chairman wa chama chako!, lazima mheshimu!, huwezi kumuita kuwa ni mtu mdogo sana!.
P
Vyeo vya kuteuliwa huwa vinaisha haraka sana
 
Hili nimelisema mimi, kwasababu nimemuona Rais Samia yupo!.
Kwenye Uislamu na kwenye Swala za Kiislamu Msikitini, hakunaga mgeni rasmi isipokuwa Allah!, na mwanamke haruhusiwagi hata kuzungumza!. Rais Samia ni atakuwa mgeni rasmi kwenye Baraza la Iddi mchana huu pale JNICC.
P
Kama unajua hilo mbona umesema ni mgeni rasmi
 
Pia Mufti Mkuu, ametukaribisha kwenye Baraza la Iddi, litafanyika ukumbi wa JNICC , mgeni rasmi ni Rais Samia. ambapo huko sasa ndio Rais Samia atazungumza!.
Kwa hio hapo Msikitini Rais ni Mufti Mkuu, ila akitoka nje ya Msikiti yeye sio Rais tena ila Rais anakua
 
Ila isije kuwa ile sauti imemsogeza imma
Sio inaweza kuwa, ndio maana yake!, yeye she'll just be the figure head, but the one who will be running the show!, ni huyo dogo!, hivyo ile sauti inakwenda kutimia!.
P
 
Nimemuona akiwa anasali kwa utulivu na unyenyekevu wa hali ya juu.
Sijawahi kumuona akiwa katika hali ile ya utulivu wa kina vile.
Natumaini kuna jambo alikuwa amenuia litimie katika swala yake.
Nami namuombea kwa Mwenyenzi Mungu amjalie kutambua hitaji la Sasa la Nchi ya Tanzania kuwa na Demokrasia ya kweli kwa kuwa na uchaguzi huru na wa haki.
 
Nimemuona akiwa anasali kwa utulivu na unyenyekevu wa hali ya juu.
Sijawahi kumuona akiwa katika hali ile ya utulivu wa kina vile.
Kiukweli huyu Mama ni mtu rahimu sana !, angalia tulisema nini juu yake na tulisema lini!.
Natumaini kuna jambo alikuwa amenuia litimie katika swala yake.
Ni mtu wa swala na mtu wa ibada, ni mtu mwenye hofu ya Mungu!.
Nami namuombea kwa Mwenyenzi Mungu amjalie kutambua hitaji la Sasa la Nchi ya Tanzania kuwa na Demokrasia ya kweli kwa kuwa na uchaguzi huru na wa haki.
Nakuunga mkono, hili ndilo sote tunaliombea!, na yeye, tumemlilia sana na bado tunamlilia!

P
 
Hili nimelisema mimi, kwasababu nimemuona Rais Samia yupo!.
Kwenye Uislamu na kwenye Swala za Kiislamu Msikitini, hakunaga mgeni rasmi isipokuwa Allah!, na mwanamke haruhusiwagi hata kuzungumza!. Rais Samia ni atakuwa mgeni rasmi kwenye Baraza la Iddi mchana huu pale JNICC.
P
Kwahiyo kwenye baraza la Iddi huyu Allah atakuwa likizo au amelala?
 
Tena kukitokea kuna jambo kuna ndugu yetu Muislamu anashiriki , ni dhambi kwa Muislamu kutomuunga Muislamu mkono!, hivyo kwenye lile jambo letu la October, ndugu zetu Waislamu tusifanye makosa, tukajikuta tumetenda dhambi!.

Nikurekebishe kidogo....

Umenukuu maneno mazito ya UMOJA wa udugu wa kiislamu na ukaupeleka mahali pasipo pake....

Waislamu tumemualika mkuu wa nchi kwa nafasi yake na si kwa sababu ya dini yake.....

Marais wote wamekuwa wakialikwa pasi na kuangalia imani zao za kidini.....

Waislamu wana itikadi zao za vyama kama walivyo waumini wa dini zengine.... uislamu haulazimishi watu wote kufanana ITIKADI zozote ziwazo....

Kwa wenye uelewa watamaizi UKUBWA wa nafasi ya Urais na kwa kuwa tunataka AMANI ,UMOJA NA UTULIVU wa nchi yetu basi hata kama ungekuwa ni wewe mjomba Pasko unanena hayo na Oktoba una "jambo lako" kamwe TUSINGEKUTUPA MKONO....

#Ubarikiwe sana P aamin!
 
Back
Top Bottom