900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 9,485
- 11,556
Hakuna swala ya iddi ni siasa tu maza kafuataDuh aiseee hatimae mwanamke anahesabika ugeni rasmi msikitini
Hakuna swala ya iddi ni siasa tu maza kafuataDuh aiseee hatimae mwanamke anahesabika ugeni rasmi msikitini
Wanabodi
Nafuatilia live ya Swala ya Idd El Fitri kupitia TBC live!, kutokea kwenye Msikiti Mkuu wa Bakwata, Msikiti wa Mfalme Mohammed wa 6 wa Morocco, Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Karibuni
View: https://www.youtube.com/live/c2Ad4IXVKUU?si=OMJZtMBCkCXGDagu
Mufti wa Tanzania, Sheikh Mkuu, Aboubakar Zubeir Bin Alii, ametukaribisha kwenye Baraza la Iddi, litafanyika ukumbi wa JNICC , mgeni rasmi ni Rais Samia.
Karibuni.
Paskali
Huo ndio ukweli mtupu....Hakuna mwanamke aliyetoa hotuba msikitini mkuu.
Swala ya Eid imeongozwa na masheikh wanaume.
Hata Rais Samia alienda msikitini kama mtu wa kawaida tu hakutoa hata neno moja.
Kwenye baraza la Iddi Rais Samia atakuwa mgeni rasmi kwasababu baraza la Iddi sio ibada bali mgeni rasmi anaweza kuwa yeyote hata asiyekuwa muislamu.
Wanabodi
Nafuatilia live ya Swala ya Idd El Fitri kupitia TBC live!, kutokea kwenye Msikiti Mkuu wa Bakwata, Msikiti wa Mfalme Mohammed wa 6 wa Morocco, Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Karibuni
View: https://www.youtube.com/live/c2Ad4IXVKUU?si=OMJZtMBCkCXGDagu
Mufti wa Tanzania, Sheikh Mkuu, Aboubakar Zubeir Bin Alii, ametukaribisha kwenye Baraza la Iddi, litafanyika ukumbi wa JNICC , mgeni rasmi ni Rais Samia.
Karibuni.
Paskali
Baraza la Eid ndiyo nini?Hili nimelisema mimi, kwasababu nimemuona Rais Samia yupo!.
Kwenye Uislamu na kwenye Swala za Kiislamu Msikitini, hakunaga mgeni rasmi isipokuwa Allah!, na mwanamke haruhusiwagi hata kuzungumza!. Rais Samia ni atakuwa mgeni rasmi kwenye Baraza la Iddi mchana huu pale JNICC.
P
nakazia hapa👿Watu wanajizima data tu hakuna lolote la msingi hapo mkuu! Wanatazama ugali pekee hakuna imani tena
Tena kukitokea kuna jambo kuna ndugu yetu Muislamu anashiriki , ni dhambi kwa Muislamu kutomuunga Muislamu mkono!, hivyo kwenye lile jambo letu la October, ndugu zetu Waislamu tusifanye makosa, tukajikuta tumetenda dhambi!.Eid il Mubarak !
Kwetu KUWATII viongozi na wenye mamlaka juu yetu ni agizo la kidini na ni lazima !!
#Eid njema ,aaamin!
We kwa hakika ndo Umma bora wa Mtume Muhammad (S.A.W)Hakuna mwanamke aliyetoa hotuba msikitini mkuu.
Swala ya Eid imeongozwa na masheikh wanaume.
Hata Rais Samia alienda msikitini kama mtu wa kawaida tu hakutoa hata neno moja.
Kwenye baraza la Iddi Rais Samia atakuwa mgeni rasmi kwasababu baraza la Iddi sio ibada bali mgeni rasmi anaweza kuwa yeyote hata asiyekuwa muislamu.
usawa The beijing conference impact 1995Huu ni uislamu gani. Yaani mwanamke ni mgeni rasmi?
Naomba kufahamu maana ya BARAZA LA IDDHili nimelisema mimi, kwasababu nimemuona Rais Samia yupo!.
Kwenye Uislamu na kwenye Swala za Kiislamu Msikitini, hakunaga mgeni rasmi isipokuwa Allah!, na mwanamke haruhusiwagi hata kuzungumza!. Rais Samia ni atakuwa mgeni rasmi kwenye Baraza la Iddi mchana huu pale JNICC.
P
🤝Asante sana.
P
Iddi ilikua jana, hizo zinazoendelea hapo ni siasa tu, hapana dini hapo.Hili nimelisema mimi, kwasababu nimemuona Rais Samia yupo!.
Kwenye Uislamu na kwenye Swala za Kiislamu Msikitini, hakunaga mgeni rasmi isipokuwa Allah!, na mwanamke haruhusiwagi hata kuzungumza!. Rais Samia ni atakuwa mgeni rasmi kwenye Baraza la Iddi mchana huu pale JNICC.
P
Wanabodi
Nafuatilia live ya Swala ya Idd El Fitri kupitia TBC live!, kutokea kwenye Msikiti Mkuu wa Bakwata, Msikiti wa Mfalme Mohammed wa 6 wa Morocco, Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Karibuni
View: https://www.youtube.com/live/c2Ad4IXVKUU?si=OMJZtMBCkCXGDagu
Nimemuona Rais Samia amehudhuria ibada hii kama muumini wa kawaida.
Kwenye Uislamu na kwenye Swala za Kiislamu Msikitini, hakunaga mgeni rasmi isipokuwa Allah!, na mwanamke haruhusiwagi hata kuzungumza!, hivyo Rais Samia hakuzungumza lolote hapo Msikitini hata kusalimia tuu.
Mufti wa Tanzania, Sheikh Mkuu, Aboubakar Zubeir Bin Alii, amewanasihi Waislamu kutotenda dhambi siku ya leo, wasije wakaharibu funga yao yote!. “kufanya dhambi leo, ni kama kufanya dhambi siku ya kiama mbele ya Allah Subhana wa Taala”.
Pia Mufti Mkuu, ametukaribisha kwenye Baraza la Iddi, litafanyika ukumbi wa JNICC , mgeni rasmi ni Rais Samia. ambapo huko sasa ndio Rais Samia atazungumza!.
Karibuni.
Paskali
Nimemtaja kwasababu ni mtu wa tatu kiukubwa katika nchi hii kwenye mkusanyiko ule. Wa kwanza ni Rais Samia, 2. JK na Salma, 3. Mchengerwa, huyu ni waziri, huo uwaziri tuu ni mtu mkubwa sana, ukijumlisha na ule ukuu wake mwingine ule, unamuitaje mtu kama huyu kuwa ni mtu mdogo sana kwenye nchi hii?.Sababu ya wewe kumtaja Mchengerwa, ambaye ni mtu mdogo sana kwenye Nchi hii ni ipi?
Nadhani kilichokusukuma ni ule ukuu wake mwingine, basi sawaNimemtaja kwasababu ni mtu wa tatu kiukubwa katika nchi hii kwenye mkusanyiko ule. Wa kwanza ni Rais Samia, 2. JK na Salma, 3. Mchengerwa, huyu ni waziri, huo uwaziri tuu ni mtu mkubwa sana, ukijumlisha na ule ukuu wake mwingine ule, unamuitaje mtu kama huyu kuwa ni mtu mdogo sana kwenye nchi hii?.
P
Nachungulia wee, kama kuna sauti kutoka within hivi..Nimemtaja kwasababu ni mtu wa tatu kiukubwa katika nchi hii kwenye mkusanyiko ule. Wa kwanza ni Rais Samia, 2. JK na Salma, 3. Mchengerwa, huyu ni waziri, huo uwaziri tuu ni mtu mkubwa sana, ukijumlisha na ule ukuu wake mwingine ule, unamuitaje mtu kama huyu kuwa ni mtu mdogo sana kwenye nchi hii?.
P