Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Mbele ya pesa hakuna cha AllahKweni Allah hajaamuru Waumini wake kupigania HAKI? Naomba jibu tafadhali..
Mbele ya pesa hakuna cha AllahKweni Allah hajaamuru Waumini wake kupigania HAKI? Naomba jibu tafadhali..
Dini ya kiislamu ni misunderstood religion sio kwa wasio waislam tu, hata kwa waislamu wenyewe hawajaifahamu dini yao. Quran imetuletea tarehe ili tuendeshe mambo yetu kwa kupitia tarehe hiyo, lakini leo dunia nzima hawawezi kuendesha jambo lolote kwa kutumia Islamic calenda, hatazile inchi zinazojidai ni Islamic states hawawezi kuendesha jambo lolote kwakutumia tarehe ilioletwa na quran, imelazimika tutumie calenda ya kikiristo kuendesha hata mambo ya kiislamu. Msimamo wa kila nchi kua tarehe yake ni kuudhalilisha uislamu na kuidhalilisha quran, waislamu tunajinasibu uislamu umekamilika sasa ukamilifu huo uko wapi ikiwa tarehe yetu haiwezi kutuunganisha na kutekeleza ahadi zetu. Waislamu wanapaswa kuelewa Islamic calenda haishii kwenye hijja na kifunga tu, ilitakiwa shughuli zetu zote ziende kutokana na tarehe ilioletwa na Quran.Naunga mkono hoja, Quran onaelekeza mwezi ukionekana popote, kesho yake ni iddi.
P
Wanabodi
Nafuatilia live ya Swala ya Idd El Fitri kupitia TBC live!, kutokea kwenye Msikiti Mkuu wa Bakwata, Msikiti wa Mfalme Mohammed wa 6 wa Morocco, Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Karibuni
View: https://www.youtube.com/live/c2Ad4IXVKUU?si=OMJZtMBCkCXGDagu
Nimemuona Rais Samia amehudhuria ibada hii kama muumini wa kawaida.
Kwenye Uislamu na kwenye Swala za Kiislamu Msikitini, hakunaga mgeni rasmi isipokuwa Allah!, na mwanamke haruhusiwagi hata kuzungumza!, hivyo Rais Samia hakuzungumza lolote hapo Msikitini hata kusalimia tuu.
Mufti wa Tanzania, Sheikh Mkuu, Aboubakar Zubeir Bin Alii, amewanasihi Waislamu kutotenda dhambi siku ya leo, wasije wakaharibu funga yao yote!. “kufanya dhambi leo, ni kama kufanya dhambi siku ya kiama mbele ya Allah Subhana wa Taala”.
Pia Mufti Mkuu, ametukaribisha kwenye Baraza la Iddi, litafanyika ukumbi wa JNICC , mgeni rasmi ni Rais Samia. ambapo huko sasa ndio Rais Samia atazungumza!.
Karibuni.
Paskali
Heading imejitosheleza, mgeni rasmi kwenye Baraza la Iddi!.Ikiwa hakuna mgeni rasmi..... Rekebisha heading uliyoandika... "Mgeni rasmi".
Wanabodi
Nafuatilia live ya Swala ya Idd El Fitri kupitia TBC live!, kutokea kwenye Msikiti Mkuu wa Bakwata, Msikiti wa Mfalme Mohammed wa 6 wa Morocco, Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Karibuni
View: https://www.youtube.com/live/c2Ad4IXVKUU?si=OMJZtMBCkCXGDagu
Nimemuona Rais Samia amehudhuria ibada hii kama muumini wa kawaida.
Kwenye Uislamu na kwenye Swala za Kiislamu Msikitini, hakunaga mgeni rasmi isipokuwa Allah!, na mwanamke haruhusiwagi hata kuzungumza!, hivyo Rais Samia hakuzungumza lolote hapo Msikitini hata kusalimia tuu.
Mufti wa Tanzania, Sheikh Mkuu, Aboubakar Zubeir Bin Alii, amewanasihi Waislamu kutotenda dhambi siku ya leo, wasije wakaharibu funga yao yote!. “kufanya dhambi leo, ni kama kufanya dhambi siku ya kiama mbele ya Allah Subhana wa Taala”.
Pia Mufti Mkuu, ametukaribisha kwenye Baraza la Iddi, litafanyika ukumbi wa JNICC , mgeni rasmi ni Rais Samia. ambapo huko sasa ndio Rais Samia atazungumza!.
Karibuni.
Paskali
Uislamu unaruhusu, hata ukisoma kwenye hadith, Mtume Mohammed (SAW), alipomua Bi. Khadija, alikuwa ni mjane tajiri, amezidi umri. Bi Khadija alimuongoza Mtume kwenye mambo mengi, hata Mtume alipotokewa na Malaika, ni Bi Khadija alimuongoza kujua huyo ni malaika wa Mungu. Kitu ambacho Uislamu na Ukatoliki hauruhusu ni mwanamke kuwa Imam au kasisi!, hawezi kuongoza ibada tuu, lakini mambo mengine yote, ikiwemo mwanamke kuwa kiongozi wa nchi, Uislamu unaruhusu!. Je Wajua Japo Baba ni Kichwa cha Nyumba, Mama Anaweza Kugeuka Kichwa Akawa Baba?. Wajua Rais Samia ni Mwanamke , ni Mama, Kwa TZ ni Kichwa ni Baba?.Uislamu unasemaje kuhusu mwanamke kuwa kiongozi wa wanaume? Hebu fafanua na hili kama ulivyofanya kwenye kuzungumza.
Kwani Rais alikuwa mgeni rasmi msikitini? Hivi hizi nyuzi huwa mnazisoma kweli wanajf kabla ya ku comment?
usawa The beijing conference impact 1995
Yaani aya zielezee mambo ya katiba za nchi ?!!Umeandika vizuri lakini mbona hakuna aya inayo-support?
www.morrocoworldnews.comSio kila kitu ni mpaka rocket science, size mwezi mwandamo, mwezi mchanga, inafahamika, kama uliuona mwezi wa Jumapili, utakubaliana na ukweli halisi, mwezi mwandamo ulikuwa Jumamosi!, siku zote Answar Sunna wako right.
Kuukata ukweli bayana ni ubishi maandazi, sawa na ushabiki maandazi.
Aamen.
P
Muondokane nao muupeleke wapi?, wakati hata rais akiwa Muislamu, approval ya kuchaguliwa inatoka Kurasini!.Point yangu wanaolalamikia mfumo Kristo sasa ndiyo muda wa kuondokana nao.
Kiitwacho MFUMO kristo ni malalamishi tu ya watu wasioelewa UADHIMU wa Tanzania yetu......Muondokane nao muupeleke wapi?, wakati hata rais akiwa Muislamu, approval ya kuchaguliwa inatoka Kurasini!.
P
Uislamu unaruhusu, hata ukisoma kwenye hadith, Mtume Mohammed (SAW), alipomua Bi. Khadija, alikuwa ni mjane tajiri, amezidi umri. Bi Khadija alimuongoza Mtume kwenye mambo mengi, hata Mtume alipotokewa na Malaika, ni Bi Khadija alimuongoza kujua huyo ni malaika wa Mungu. Kitu ambacho Uislamu na Ukatoliki hauruhusu ni mwanamke kuwa Imam au kasisi!, hawezi kuongoza ibada tuu, lakini mambo mengine yote, ikiwemo mwanamke kuwa kiongozi wa nchi, Uislamu unaruhusu!. Je Wajua Japo Baba ni Kichwa cha Nyumba, Mama Anaweza Kugeuka Kichwa Akawa Baba?. Wajua Rais Samia ni Mwanamke , ni Mama, Kwa TZ ni Kichwa ni Baba?.
P
Muondokane nao muupeleke wapi?, wakati hata rais akiwa Muislamu, approval ya kuchaguliwa inatoka Kurasini!.
P
Tumemhakikishia Dada Mkubwa kuwa 2025 ni yeye tuu!, ila pia tumemshauri Dada Mkubwa tunakupenda na tunakukubali, kama ni wewe, ni wewe tu, hakuna mwingine! Usiruhusu uhuni huu, fuata Katiba na the due process, utabarikiwaYah right. Kwa hiyo ni Mfumo Kristo uliopitisha mitano tena kinyume cha katiba na mchakato wa chama?
There you are!.Kwa hiyo No Reform No Election badala ya Lissu kuidai Magogoni anatakiwa aende Kurasini.....!?
Tumemhakikishia Dada Mkubwa kuwa 2025 ni yeye tuu!, ila pia tumemshauri Dada Mkubwa tunakupenda na tunakukubali, kama ni wewe, ni wewe tu, hakuna mwingine! Usiruhusu uhuni huu, fuata Katiba na the due process, utabarikiwa
There you are!.
1. Akiwa Mkristo, ni lazima awe wa Kurasini!.
2.Akiwa Muislamu ni lazima apate endorsement ya Kurasini.
P
Sijui kama unaelewa hata kidogoYaani aya zielezee mambo ya katiba za nchi ?!!