Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 9,468
- 8,281
Kauli hiyo haiwezi kutolewa pale kwani haikuchakatwa na WAISLAMU na kuamua kuitoa kupitia njia zao bali ni kauli iliyoanzishwa na WANASIASA WASHINDANI KISIASA tena wasio na dola....Ndio maana nimekwambia Uisilamu haukubali WIZI wa kura kwahiyo Salamu za Eid Mubarak za leo ziambatane na kaulimbiu ya NO REFORMS NO ELECTION
Uislamu unatutaka TUSIWE watovu wa ADABU kwa wenye dola hasa WAKIWA MBELE YETU na katika MAJLIS zetu.....