Sala ya Iddi kitoka Msikiti Mkuu wa Bakwata, Kinondoni DSM: Mgeni Rasmi Baraza la Iddi ni Rais Samia, JK, Salma, Mchengerwa Ndani!. Eid Mubarak!

Well....

Mwezi mwandamo unaendana na MATLAI (longitudes-latitudes-hali ya hewa-mawingu)..

Kama ingekuwa MWEZI MWANDAMO ni mmoja tu* tusingeelekezwa KUTIMIZA siku 30 pale ambapo haukuonekana kutokana na MAWINGU..hiyo ndiyo dini....na si hoja za wautafutao kwa kutumia "BINOCULARS" huko mawinguni.....
Swala la matlay sio sababu ya msingi, hata Swala kila mtu ataswali adhuhuri pale jua linapotenguka. Halafu hata wakati wa mtume watu waliutafuta mwezi kwapanda kwenye mitende na sehemu za vilima. Mwezi mwandamo ni Islamic calenda hatuwezi kutekeleza ahadi iwapo kila mtu atakua na hesabu yake ya tarehe, kila mtu kiwana tarehe yake ni kuifanya Islamic calenda useless.
 
Ulilisikia la kule Saudia la mwezi mwandamo (shawaal) wa 2021 ?!!

Limejirudia tena jumamosi ya tarehe 30 kwa MAMLAKA za Saudia ,UAE na Quwait kujitangazia mwezi bila ya kuonekana kwa MACHO na hata kwa vifaa(telescope)....

Ni hivi :
Mwaka 2023 Elon Musk alitengeneza kifaa cha AI cha anga za mbali ,wajuvi wa unajimu na anga za mbali wamesema siku ya jumamosi "was unlikely to be regarded as a day of moon sighting as the crescent was not seen whatsoever".....

Wataalamu wa Uingereza wanaandaa "evidence" kuonyesha hiyo "wrong sighting"...

Sijajua wasaudia watatubu vipi kwa kuwadanganya UMMA wa wafuasi wao na KUWAFUTURISHA mchana wa Ramadhan.......

Hivi unajua ni dhambi kuwafungulisha watu ilihali mwezi mwandamo haujaonekana?!!

Acheni SIASA na ubarakala katika DINI......

HITIMISHO:
Ushahidi wa kimazingira na wa kisayansi umetufanya tena tumekuwa wakweli kwa kuwa na sikukuu siku ya JUMATATU badala hiyo KANYABOYA ya JUMAPILI".

#Tupanue fikra na kuongeza maarifa kwa kuacha USHABIKI MAANDAZI!

#Ibarikiwe BAKWATA na mufti wetu Doktori Shaykhul Muadhama Zubeir ibun Ally aaamin aaaaamin!
 
Mwezi mwandamo ndio Islamic calenda ilioletwa na Quran, kwamaana hiyo suala la kila nchi kua na tarehe yake ni kuifanya Islamic calenda useless, na huko ni kuidhalilisha quran, quran imetuletea tarehe ambayo waislamu wenyewe hawawezi kupanga ahadi na kuzitekeleza kwa kutumia tarehe yao.
 
Mwezi mwandamo ndio Islamic calenda ilioletwa na Quran, kwamaana hiyo suala la kila nchi kua na tarehe yake ni kuifanya Islamic calenda useless, na huko ni kuidhalilisha quran, quran imetuletea tarehe ambayo waislamu wenyewe hawawezi kupanga ahadi na kuzitekeleza kuwa kutumia tarehe yao.
Kazi kweli kweli
 
HITIMISHO:
Ushahidi wa kimazingira na wa kisayansi umetufanya tena tumekuwa wakweli kwa kuwa na sikukuu siku ya JUMATATU badala hiyo KANYABOYA ya JUMAPILI".
Sio kila kitu ni mpaka rocket science, size mwezi mwandamo, mwezi mchanga, inafahamika, kama uliuona mwezi wa Jumapili, utakubaliana na ukweli halisi, mwezi mwandamo ulikuwa Jumamosi!, siku zote Answar Sunna wako right.
#Tupanue fikra na kuongeza maarifa kwa kuacha USHABIKI MAANDAZI!
Kuukata ukweli bayana ni ubishi maandazi, sawa na ushabiki maandazi.
#Ibarikiwe BAKWATA na mufti wetu Doktori Shaykhul Muadhama Zubeir ibun Ally aaamin aaaaamin!
Aamen.
P
 
Mwezi mwandamo ndio Islamic calenda ilioletwa na Quran, kwamaana hiyo suala la kila nchi kua na tarehe yake ni kuifanya Islamic calenda useless, na huko ni kuidhalilisha quran, quran imetuletea tarehe ambayo waislamu wenyewe hawawezi kupanga ahadi na kuzitekeleza kwa kutumia tarehe yao.
Naunga mkono hoja, Quran onaelekeza mwezi ukionekana popote, kesho yake ni iddi.
P
 
Wanabodi

Nafuatilia live ya Swala ya Idd El Fitri kupitia TBC live!, kutokea kwenye Msikiti Mkuu wa Bakwata, Msikiti wa Mfalme Mohammed wa 6 wa Morocco, Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Karibuni

View: https://www.youtube.com/live/c2Ad4IXVKUU?si=OMJZtMBCkCXGDagu

Nimemuona Rais Samia amehudhuria ibada hii kama muumini wa kawaida.

Kwenye Uislamu na kwenye Swala za Kiislamu Msikitini, hakunaga mgeni rasmi isipokuwa Allah!, na mwanamke haruhusiwagi hata kuzungumza!, hivyo Rais Samia hakuzungumza lolote hapo Msikitini hata kusalimia tuu.

Mufti wa Tanzania, Sheikh Mkuu, Aboubakar Zubeir Bin Alii, amewanasihi Waislamu kutotenda dhambi siku ya leo, wasije wakaharibu funga yao yote!. “kufanya dhambi leo, ni kama kufanya dhambi siku ya kiama mbele ya Allah Subhana wa Taala”.

Pia Mufti Mkuu, ametukaribisha kwenye Baraza la Iddi, litafanyika ukumbi wa JNICC , mgeni rasmi ni Rais Samia. ambapo huko sasa ndio Rais Samia atazungumza!.

Karibuni.

Paskali

Wee kilichokupeleka pale nini wakati sio imani yako
 
Huna ujuacho.....

Uislam unataka tuzitii MAMLAKA...mtawala hata akiwa mtoto wa KIKE ni lazima ATIIIWE....

Unachanganya mambo mno ,Rais Samia hakupanda katika MIMBARI kuhutubia "RELIGIOUS MASS"....

Religious masses on the pulpits are only reserved to MALE preachers.....

Unajizongazonga sana ,hebu vuta pumzi kwa nguvu "ulisukume hilo kohozi".....
Onyesha aya nami nijifunze
 
Huna uelewa wa mambo hayo ya Idd halafu unajipa ukuu wa usemaji ?!!

Nakuwekea mbango zako pembeni nikupe maarifa....

Sikiliza...

Baraza la IDD huwa ni la miaka yote na si ibada ya swala 5....

Waislamu huwa wanaongelea mambo yao ya mwaka mzima na kupanga mambo ya mwaka ufuatao ,kwa sababu ni raia kama wengine ,basi yapo mambo yao ya kijamii yanayofungamana na DINI hupenda kuyafikisha kwa MAMLAKA zilizowekwa na Mwenyezi Mungu duniani....SERIKALI....

Rais Samia si wa kwanza kualikwa hapo...na URAIS hauna JINSI......

#JMT milele dumu aamin!
Umeandika vizuri lakini mbona hakuna aya inayo-support?
 
Back
Top Bottom