Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 9,468
- 8,281
Uwongo huo....jana wamefungua Saudi Arabia....nawe uko Tanzania....mawazo ya KUKOPI hayo.....Iddi ilikua jana, hizo zinazoendelea hapo ni siasa tu, hapana dini hapo.
Uwongo huo....jana wamefungua Saudi Arabia....nawe uko Tanzania....mawazo ya KUKOPI hayo.....Iddi ilikua jana, hizo zinazoendelea hapo ni siasa tu, hapana dini hapo.
Umejawa na fikra za "MISOGYNYIST"....Huu ni uislamu gani. Yaani mwanamke ni mgeni rasmi?
Kwani ni Idd hii waislamu tumeanza kuwaalika marais wa nchi ?!!Mbele ya pesa hakuna cha biblia wala quaran sijui wote ni wasaka tonge
So the madam is para victim!Sio inaweza kuwa, ndio maana yake!, yeye she'll just be the figure head, but the one who will be running the show!, ni huyo dogo!, hivyo ile sauti inakwenda kutimia!.
P
Huna uelewa wa mambo hayo ya Idd halafu unajipa ukuu wa usemaji ?!!Kwahiyo kwenye baraza la Iddi huyu Allah atakuwa likizo au amelala?
Tatizo lako umeangalia mteuliwa ,P ametanabahisha UKUU wa UWAZIRI na si "waziri mtu"...Vyeo vya kuteuliwa huwa vinaisha haraka sana
Huna ujuacho.....Quaruani inaruhusu mwanamke kuhutubia msikitini? mbele ya pesa hakuna cha maandiko matakatifu ni utapeli tupu
Yakitokea hayo basi watakuwa hao si WAISLAMU walioko IBADANI bali WANAHARAKATI WA KISIASA....Salamu za leo za Eid Mubarak zifuatiwe na NO REFORMS NO ELECTION.
Kweni Allah hajaamuru Waumini wake kupigania HAKI? Naomba jibu tafadhali..Yakitokea hayo basi watakuwa hao si WAISLAMU walioko IBADANI bali WANAHARAKATI WA KISIASA....
Uislam umetufundisha kutochanganya mambo.....
Msikiti ni nyumba ya MUNGU.... mufti ni muumini wa nafasi ya juu na rais ni muumini wa nafasi ya juu zaidi.....Kwa hio hapo Msikitini Rais ni Mufti Mkuu, ila akitoka nje ya Msikiti yeye sio Rais tena ila Rais anakua
Haki katika nini hapa ?!Kweni Allah hajaamuru Waumini wake kupigania HAKI? Naomba jibu tafadhali..
Wapi kuhusu nini ?!!Hawa viongozi,sijajua wanatupeleka wapi , ila mungu yupo
Acha kupotosha, tena kama kungekuwa na Sheria ya Kiislamu Hiyo Tume ya WEZI WA KURA wote wangekatwa mikono.Haki katika nini hapa ?!
Uislam umetuelekeza kutafuta haki kwa njia stahiki.....
Well...Acha kupotosha, tena kama kungekuwa na Sheria ya Kiislamu Hiyo Tume ya WEZI WA KURA wote wangekatwa mikono.
Mzee Mayalla bhana...Tena kukitokea kuna jambo kuna ndugu yetu Muislamu anashiriki , ni dhambi kwa Muislamu kutomuunga Muislamu mkono!, hivyo kwenye lile jambo letu la October, ndugu zetu Waislamu tusifanye makosa, tukajikuta tumetenda dhambi!.
P
Money ➡️Power ➡️ RespectDuh aiseee hatimae mwanamke anahesabika ugeni rasmi msikitini
Ndio maana nimekwambia Uisilamu haukubali WIZI wa kura kwahiyo Salamu za Eid Mubarak za leo ziambatane na kaulimbiu ya NO REFORMS NO ELECTIONTanzania si nchi ya kiislamu iongozwayo na SHARIAH na kama ndivyo unaipimaje mizani ya hiyo tume kwa HOJA za kishariah ?!!
Mkuu wangu kuna kitu hujakifahamu kuhusu uislamu na misikiti... .Duh aiseee hatimae mwanamke anahesabika ugeni rasmi msikitini