Samia anaweza kuwa ndio Rais mwenye msululu wa magari mengi kwenye msafara wake kuzidi maraisi wote duniani

Samia anaweza kuwa ndio Rais mwenye msululu wa magari mengi kwenye msafara wake kuzidi maraisi wote duniani

Kwamba ni kama unanunua gari kali halafu unakaa nyumba ya udongo na gari halifiki 🤣🤣

hahahahahaa, unanunua Ferrari au lambo huku lami zenyewe ndio hizi, kila kona mashimo, kila mahala bumps size ya uvungu wa land rover 109.

ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
 
GT
Nchi maskini hii check fuel inavyotafunwa na V8.
View attachment 3444145
Alivyotoka kuwa makamu wa Rais na kuwa Rais, ‘wajinga na wapumbavu’ wa humu wakawa wanashangilia kuwa Samia hahitaji walinzi wengi walio na mabunduki na wala hahitaji msururu wa magari mengi kwa sababu anapendwa, siyo katili, hivyo hana cha kuogopa kama alivyokuwa Rais Magufuli.

Baadhi yetu tukawaambia hao watu kwamba, ni mapema mno kufikia mahitimisho kama hayo.

Leo nikiona hayo magari ya msafara na hao walinzi wake, natabasamu tu na kufurahia uwezo wangu mzuri wa busara za kawaida [common sense].
 
Rais kwa Afrika msafara ni kitu cha kawaida Google hapo unaweza kuta Samia hata top 10 hayupo Afrika ina vituko sana so ni Afrika nzima
 
Alivyotoka kuwa makamu wa Rais na kuwa Rais, ‘wajinga na wapumbavu’ wa humu wakawa wanashangilia kuwa Samia hahitaji walinzi wengi walio na mabunduki na wala hahitaji msururu wa magari mengi kwa sababu anapendwa, siyo katili, hivyo hana cha kuogopa kama alivyokuwa Rais Magufuli.

Baadhi yetu tukawaambia hao watu kwamba, ni mapema mno kufikia mahitimisho kama hayo.

Leo nikiona hayo magari ya msafara na hao walinzi wake, natabasamu tu na kufurahia uwezo wangu mzuri wa busara za kawaida [common sense].
Ha ha ha leo nimesoma threads kadhaa humu hadi nikajiuliza, hivi inakuwaje huyu anachukiwa kuliko yule katili?! Yaani watu wanasema wanatamani kusikia taarifa mbaya washangilie!
Jamaa RIP alisema 'Mtanikumbuka'
 


Hao walishamaliza all the basics, hatuwasikii wakiwaza madarasa kila mwaka, matatizo ya maji kwenye miji yao mikubwa, vifo vya kina mama wajawazito, mashimo ya vyoo, miundo mbinu Bora kwenye miji yao mikubwa nk.
Hatuwasikii wakipewa misaada kusaidia ujenzi wa matundu ya vyoo.

Itifaki inayoendana na financial muscles, vipaumbele, budget nk.

Ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
 
Point yangu kwamba watu pia walilalamika no matter yaliku mangapi hoja yangu hiko hapo. Ndo maana ni kasema Marais wa Afrika na misafara kawaida tu. Msafara wa mama uhakika hata top teni ya misafara mkubwa hupo. Japokua sio vizuri viongozi kuishi maisha Expensive life wakati wananchi wanaogelea kwenye Umaskini
Rais Magufuli misafara yake ilikuwa na magari mangapi?
.
 
Hao walishamaliza all the basics, hatuwasikii wakiwaza madarasa kila mwaka, matatizo ya maji kwenye miji yao mikubwa, vifo vya kina mama wajawazito, mashimo ya vyoo, miundo mbinu Bora kwenye miji yao mikubwa nk.
Hatuwasikii wakipewa misaada kusaidia ujenzi wa matundu ya vyoo.

Itifaki inayoendana na financial muscles, vipaumbele, budget nk.

Ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
Kuboresha haya yote, lazima kurejea kwenye katiba.
 
Eti unakuta Dar es salaam watu wanalazimishwa kupisha msafara sasa unajiuliza hivi kwa barabara zipi sana za watu kupisha misafara?

Ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
 
Back
Top Bottom