Samia anaweza kuwa ndio Rais mwenye msululu wa magari mengi kwenye msafara wake kuzidi maraisi wote duniani

Samia anaweza kuwa ndio Rais mwenye msululu wa magari mengi kwenye msafara wake kuzidi maraisi wote duniani

Tukishapata madaraka tunajisahau sana sisi binadamu
Nikikumbuka alivyokuwa mnyenyekevu niliamini tumepata rais kumbe..,.
 
Ngoja nikae kimya nazipenda mbupu zangu...
 
Back
Top Bottom