Samia anaweza kuwa ndio Rais mwenye msululu wa magari mengi kwenye msafara wake kuzidi maraisi wote duniani

Halafu aliyerecord hiyo video na kuipost mtandaoni akitoa idadi ya magari aliishia kutekwa na kupotezwa hadi leo ni miezi 11 hajulikani alipo ndio yule Dioniz Kipanya.

Sasa hawa watu kama wanakubalika mtu kurecord video ya msafara wa rais na kutaja idadi ya magari ni kosa?
 
ni fahari kujivunia Taifa la amani lenye utajiri wa kila aina, ni utumwa kuukana uzalendo na kua mvivu katika kufanya kazi 🐒
Tanzania Ina utajiri wa mambumbumbu ya kijani. Ila Ina ufukara wa watu (taasisi), Tanzania hamna watu, Kuna mijitu isiyo na akili ndio maana Hayati Kenyatta alisema Tanzania Kuna maiti. Tanzania Kuna ufukara wa fikra, Kuna umasikini wa kiuchumi... Tanzania imejaa machawa, na wewe ni lichawa zezeta usiye na haya Wala aibu
 
umaskini wenye mihemko ni kichekesho sana gentleman 🤣

work hard gentleman otherwise utalalamika na kulaumu hadi unaingia kaburini 🐒
 
Tanzania Ina utajiri wa mambumbumbu ya kijani. Ila Ina ufukara wa watu (taasisi), Tanzania hamna watu, Kuna mijitu isiyo na akili ndio maana Hayati Kenyatta alisema Tanzania Kuna maiti. Tanzania Kuna ufukara wa fikra, Kuna umasikini wa kiuchumi... Tanzania imejaa machawa, na wewe ni lichawa zezeta usiye na haya Wala aibu
FANYA KAZI BHANA..TAFUTA PESA ATA CHADEMA ATUWEZI KUKULETEA PESA MFUKONI MWAKO
 
Haitengemai jamii yoyote ambaye kiongozi wake wa juu mwenye maaamuzi ya mwisho ni mwanamke.
Hapo hata akipewa miaka 5mingine msitegemee lolote jipya. Worst president ever.
 
Ukiona kiongozi ana msafara mkubwa jua amezungukwa na watu wa hovyo.
 
Back
Top Bottom