Saasa pata picha kila gari hapo ilikula wese average 200lts yaani ni zaid ya 60M kwa hiyo trip, je hayo ni kama madawati mangapi mkuuni hatari
Natamani hata ningetega bomu moja hapo na kuteketeza hizo takataka zote tuanze upyaMnaotafuta wasiojulikana ndo hao,gusa maslahi yao upotezwe
Usiseme Afrika nzima sema nchi nyingi za subsahara Africa zenye binadamu wasio na tofauti sana na akili za nguruwe .Namibia , Seychelles au Botswana hutawahi ona huu usenge na ni Africa hii hiiRais kwa Afrika msafara ni kitu cha kawaida Google hapo unaweza kuta Samia hata top 10 hayupo Afrika ina vituko sana so ni Afrika nzima
Rais akiwa ndani anajuaje kama hayo yoote yanamfata?