Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 6,450
- 17,648
Kwamba ni kama unanunua gari kali halafu unakaa nyumba ya udongo na gari halifiki 🤣🤣
Alivyotoka kuwa makamu wa Rais na kuwa Rais, ‘wajinga na wapumbavu’ wa humu wakawa wanashangilia kuwa Samia hahitaji walinzi wengi walio na mabunduki na wala hahitaji msururu wa magari mengi kwa sababu anapendwa, siyo katili, hivyo hana cha kuogopa kama alivyokuwa Rais Magufuli.
Ha ha ha leo nimesoma threads kadhaa humu hadi nikajiuliza, hivi inakuwaje huyu anachukiwa kuliko yule katili?! Yaani watu wanasema wanatamani kusikia taarifa mbaya washangilie!Alivyotoka kuwa makamu wa Rais na kuwa Rais, ‘wajinga na wapumbavu’ wa humu wakawa wanashangilia kuwa Samia hahitaji walinzi wengi walio na mabunduki na wala hahitaji msururu wa magari mengi kwa sababu anapendwa, siyo katili, hivyo hana cha kuogopa kama alivyokuwa Rais Magufuli.
Baadhi yetu tukawaambia hao watu kwamba, ni mapema mno kufikia mahitimisho kama hayo.
Leo nikiona hayo magari ya msafara na hao walinzi wake, natabasamu tu na kufurahia uwezo wangu mzuri wa busara za kawaida [common sense].
Rais Magufuli misafara yake ilikuwa na magari mangapi?Hata kipindi cha Magufuli watu walilalamikia msafara wake kwa Afrika na Marais wake kawaida mno
Two wrongs do no make a right.Hata kipindi cha Magufuli watu walilalamikia msafara wake kwa Afrika na Marais wake kawaida mno
She has no idea how the use of so many vehicles impacts the life of ordinary wananchi! She is not in touch with the life that ordinary Tanzanians experience! No wonder she is the most hated president to have ever led Tanzania.
.Rais Magufuli misafara yake ilikuwa na magari mangapi?
Njoo na evidenceHata kipindi cha Magufuli watu walilalamikia msafara wake kwa Afrika na Marais wake kawaida mno
Kuboresha haya yote, lazima kurejea kwenye katiba.Hao walishamaliza all the basics, hatuwasikii wakiwaza madarasa kila mwaka, matatizo ya maji kwenye miji yao mikubwa, vifo vya kina mama wajawazito, mashimo ya vyoo, miundo mbinu Bora kwenye miji yao mikubwa nk.
Hatuwasikii wakipewa misaada kusaidia ujenzi wa matundu ya vyoo.
Itifaki inayoendana na financial muscles, vipaumbele, budget nk.
Ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
121 cars, na tunatembeza bakuli nje. Wana haki ya kutunanga kama watoto wadogo. Fedha tunazo tatizo ni matumizi yake. Hapo per pied kwa kila aliyepo kwenye gari. Duh
huu uoga wa hivi huwa unaleta UZOMBIESina wakili na watoto wangu bado wadogo.