Kuna watu waloulizaSwali: Kwanini serikali haitoa ufafanuzi sababu ya Bunge kuvunjwa tarehe 03/08/2025 licha ya hizi tetesi zinazoendelea?
Hapa si bure, huu ukimya wa serikali una jambo nyuma yake.
Muda utasema.
Muungano utakufa Tanganyika inakuwa huru sasaImpossible mission
Mzee mpango atakuwa Rais wa mpito mda si mrefuKuna watu walouliza
Kwanini alichelewa kuingia bungeni na hapakuwa na taarifa?
Kwanini Mpango hakuonekana bungeni?
Wacha yauane tu mashetani hayaMwaka huu Watauana sana
Hakunaga kitu kama hicho ,ajenda zenu zimekuwa nyingi, October tukatiki👉Kumekuwa na minong'ono mingi ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu, wakitaka mabadiliko ya mgombea Urais, huku balozi
Dr. Nchimbi akinyoshwewa vidole kushika nafasi hiyo, kukinusuru chama!
Mtu mzalendo anatakiwa kushika nafasi hiyo! Ndio maana tarehe ya kulivunja bunge la 12 ambayo ilipangwa kuvunjwa kwa bunge siku ya jana imesogezwa mbele🙌🙌🙌
👉Hizi ni zile habari za ndani ya kapeti🙌🙌🙌
Mmefikia kiwango Cha juu Cha ulaghai,hili likipita sijui mtakuja na lipi au Lissu kwenda kula ubwabwa au Lissu kutenguliwa IDU,au Lissu apigiwa kura ya hapana CDM 😆😆😆Akina nani wazalendo? JWTZ?
Hata wakiwa wazalendo vipi, wameapa kutii maagizo ya raisi, hawawezi kwenda kinyume na anavyotaka.
Vile vikao vya nje alivyokuwa akiwakilishwa na Mh. Makamo wa Raisi Mpango kulikuwa na namna sio bure.July Kuna mambo
Ni ngumu kumbadilisha namna Hiyo labda itumike ile QUP wanayopanga hapo kisota
Britanicca,
Zinazotoka kwa member wa Facebook. Wa humu ni wanausalama wenye connection, habari zao ni genuine kutoka inner cycle, deep within deep. Ndaniiiiii.Habari za nje ndio zipi
Hicho kisa cha Ipyana kimenifanya nikumbuke na kunistua sana! Miaka inakwenda mbio sana!Unafikiri walimuweka kuwa makamu kwa kubahatisha? Big NO!
Rejesha hela za watu. Kazi unayoifanya hailingani na malipo uliyopewa.Acheni uzushi
Ata wangekuwa mossad siku ya kuanguka ikifika imefika tuMsilolijua ni wigo wa seng’eng’e aliojizungushia samia, security imejaa wazanzibari wa karibu ukipiga kope huku mkwe jicho limemtoka kodo so utakuwa mtanange wa moto
Chadema wamo kwa shinikizo la UNKukinusuru chama? Kwani chama kina mshindani gani tena wakati CHADEMA haitashiriki uchaguzi?
Huu Utabiri sasa ni Dili kwa chawaccm kwani wanautumia kula pesa za Mkoloni Kaburu toka Zanzibar kwa ahadi kuwa watamlinda kwa mali na hali
Kwani aliteuliwa na nani huyu, si alijiteua mwenyewe?July Kuna mambo
Ni ngumu kumbadilisha namna Hiyo labda itumike ile QUP wanayopanga hapo kisota
Britanicca,