Hapo cm za iphone ni more durable than Samsung usipoweka screen protector kwenye samsung yako utaikimbia baada ya mwezi. Iphone ina screen ngumu haipati mikwaruzo kama Samsung hivo iphone mpaka sasa iphone wanaongoza 1-0 tuendelee!Haya ni matunzo ya mtu binafsi , wala haina uhusiano wowote na ubora , ww kama unadosha dondosha simu yako ikapasuka kuna uhusiano gani na ubora? Au umekanyaga na gari moja ikasalimika??
Xiaomi RedmiNi brand gani unaikubali kuanzia upande wa software zao, camera, battery life, video na durability. Binafsi Naikubali sana mnyama iphone ambaye hana mpinzani!
N.B WALE WA TEKINO NA INIFINIKSI CHONDE CHONDE NISIWAONE HUKU!
View attachment 2351211View attachment 2351212
Maake hapo ngoja nicheke kwanzaMkuu unajua maana ya flagship?
Sijui ka unaelewa ulichoandikaCm ambayo ilikuwa ni flagship miaka hiyo ni nokia ikaja blackberry. Then iphone took over. Iphone ukiangalia upande wa picture videos software security na hardware ni unique in it's way. Kama ni first time user wa iphone lazima ujione mshamba flani hivi unlike Samsung.
😂😂😂Ndio maana unaona marue ruwe
S9 toleo la 2018 unalinganisha na simu toleo la 2020? I phone 12 lmganisha na samsung galaxy s20, hakuna kitu unasogelea hapo
Mwaka ganiNdio naelewa. Unaeza niambia kwa miaka hio flagship ya nokia ilikuwa simu gani? Jibu langu binafsi ni zote. Cjui wewe jibu lako mawazo yanatofautiana.
Nazungumzia kabla ya lumia huko nyuma kwa kina express music na wengineo. Kila simu ilikuwa ni flagship ndio maana mpaka leo hii wamerudia kuzitengeneza upya na kuzirudisha sokoni. The same as blackberry.Mwaka gani
Kwenye lumia kulikuwa na lumia 920
Narudia n matunzo ya mtu, simu zangu siwekag protector na hazijawah kupata hata scratch tu na hakuna watu wana simu zimelika pemben ya vioo kama watu wa iphoneHapo cm za iphone ni more durable than Samsung usipoweka screen protector kwenye samsung yako utaikimbia baada ya mwezi. Iphone ina screen ngumu haipati mikwaruzo kama Samsung hivo iphone mpaka sasa iphone wanaongoza 1-0 tuendelee!
Ipi unaikubali kati ya hizo mbili?S9 na 12ip
Acha uongo kijan, tatizo ujui chochote tangu lini kioo cha iPhone kikawa kigumu kuliko cha Samsung [emoji1][emoji1], unajua hao iPhone wananunua hizo displays wapi?Hapo cm za iphone ni more durable than Samsung usipoweka screen protector kwenye samsung yako utaikimbia baada ya mwezi. Iphone ina screen ngumu haipati mikwaruzo kama Samsung hivo iphone mpaka sasa iphone wanaongoza 1-0 tuendelee!
Hakuna iphone yeyote inayo izidi chochote Galaxy s22 ultra iliyopo sokon kwasasa
Hata hizo iphone 14, hakuna kitu inaizidi samsung galaxy s22
Mnaenda nunua Samsung A series mnazitumia kama kipimo, njoo kwenye galaxy S series huku
1. Scanning ya documents bila kutumia 3rd part apps
2. Kutokatika kwa internet uliyoshare na vifaa vyako vingine kama laptop wakati simu inaita au unaendelea kutumia kwa mazungumzo.
Nadhani hizo features mbili kwenye Android hazipo. Kwangu mimi hizo features zinanifanya niiweke iPhone mbele ya simu zingine za Android.
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Hizo simu zina vioo vigumu hatari, dondosha unavyotaka na chaji inakaa mnoXiaomi Redmi
Weka hapo kitu ambacho 13 pro max anamsizid samsung s22 ultra.. weka mezani sio mtazamo ,Mimi nina S21 Ultra na 13 pro max ila naiona wazi tofauti ya Jumlisha na msalaba, usifanye utani na iphone. One thing ambayo iko wazi ni samsung kwenye Display na Camera ni moto!
Nimekuchapa umekimbiq, nae namchapa pia mkimbie woteWaambie kaka iphone is next level!
Hapo cm za iphone ni more durable than Samsung usipoweka screen protector kwenye samsung yako utaikimbia baada ya mwezi. Iphone ina screen ngumu haipati mikwaruzo kama Samsung hivo iphone mpaka sasa iphone wanaongoza 1-0 tuendelee!