raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Iphone inahitaji mtu mwenye hela 😄 sawa kiongozi 👍Iphone ni simu nzuri sana ila inahitaji mtu mwenye hela, na kuifananisha na Huawei si sahihi sana. Ku-operate iTunes hela.
Binafsi kazi zangu zinanihitaji ku-download files kidogo, na kwa upande huo restriction za iphone zimenishinda kabisa, na samsung kwenye hilo nashukuru kwakweli imenikomboa.
Downside kubwa ya samsung ni kioo na spare parts ukilinganisha na iPhone.
yeah sema sema uzuri wa kitu ni mtazamo wa mtu, pia issue ya simu au pc inategemea na matumizi ya mtu ni yapi hayo ndio sometmes yanafanya mtu aone hiki kinatsha au hakitoshi,Kuna rafiki yangu aliwahi kuitumia recently lakini nae akaachana nayo karudi kwenye Samsung. Sioni kama itakuwa la ziada. Kama issue ni security pekee kwangu naona ni hoja dhaifu.
Mkuu hapa umemaliza. Ndio maana kwangu naona Samsung imenitosha, sioni upungufu wa kunifanya niende kwingine.issue ya simu au pc inategemea na matumizi ya mtu ni yapi hayo ndio sometmes yanafanya mtu aone hiki kinatsha au hakitoshi
Samsung ni mnyama mkali kwanza ONEUI inafeatures nyingi sana ambazo iPhone hainaNi brand gani unaikubali kuanzia upande wa software zao, camera, battery life, video na durability. Binafsi Naikubali sana mnyama iphone ambaye hana mpinzani!
N.B WALE WA TEKINO NA INIFINIKSI CHONDE CHONDE NISIWAONE HUKU!View attachment 2351211View attachment 2351212
kweli kabisa mkuuMkuu hapa umemaliza. Ndio maana kwangu naona Samsung imenitosha, sioni upungufu wa kunifanya niende kwingine.
Sisi wa Tecno Huawei tunaiona kama iPhone fulani!Cwezi tumia mchina mkuu haswa Huawei ambao ni cm ya hovyo unanishangaza sana kama nawewe ni mtumiaji wa Huawei!
Upo sahihi sana,yeah sema sema uzuri wa kitu ni mtazamo wa mtu, pia issue ya simu au pc inategemea na matumizi ya mtu ni yapi hayo ndio sometmes yanafanya mtu aone hiki kinatsha au hakitoshi,
dah we jamaa nilikua nakuona mjanja kumbe kilaza...kubali kuwa huawei huzijui na sio kuziponda wkt hujawahi kuzitumiaCwezi tumia mchina mkuu haswa Huawei ambao ni cm ya hovyo unanishangaza sana kama nawewe ni mtumiaji wa Huawei!
Aaaah huo ni wivu tu🤣🤣Simu ukicheza PUBG inastuck au inachemka kama moto? Ukifanya multitasking ndio kabisa inajirestart 😳🙆🏻♂️ espy totoo u serious kweli?
Watakubishia ila huwa naIelewa sanaGoogle pixel ndio simu
Ila sijui kwanini mkuu, nikiona mwanaume ana iphone hua nawaza anatumia simu ya kike, hii dhana imeshindwa kunitoka aiseeHUAWEI na SAMSUNG ndo simu za kiume
Kuna kampuni yenye security ya gadgets zake kama blackberry? Wabishi wa huko daslama nisaidieni hapa.Security ni kuhakikisha taarifa zilizomo ndani ya simu haziwi leaked, interfered, misplaced. Zile sensitive zote ziwe protected, kwanzia hardware yenyewe yaani simu na software yake yani iOS au android!