raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Iphone inahitaji mtu mwenye hela 😄 sawa kiongozi 👍Iphone ni simu nzuri sana ila inahitaji mtu mwenye hela, na kuifananisha na Huawei si sahihi sana. Ku-operate iTunes hela.
Binafsi kazi zangu zinanihitaji ku-download files kidogo, na kwa upande huo restriction za iphone zimenishinda kabisa, na samsung kwenye hilo nashukuru kwakweli imenikomboa.
Downside kubwa ya samsung ni kioo na spare parts ukilinganisha na iPhone.