Sanaa: Jeshi la Israel Lafanya Mashambulizi ya Anga Nchini Yemen

Ilipigwa jana,ni wazi kuripoti habari kama hiyo ndani ya israel ni jinai, habari hizo hutolewa na IDF tu
Kupigwa ni kawaida kwenye vita
Ila unaangalia damage
Gaza ukipaona uhitaji kuuliza mara mbili kwa ule uharibifu same kwa syria

Ukiangalia tel aviv, jerusalem bado panapendeza hapana uharibifu kama gaza
 
Ni muda Sasa jw kwenda huko kuzuia uhuni wa israel.kila sehemu wao wanavuruga amani.
Hapana. Hawavurugi Amani kila sehemu bali wanawaadabisha wahuni kama hao Houthis. Inakuwaje kakikundi ka kigaidi kanathubutu kuzuia njia eti watu wasipite?? Jinga sana. JW hawawezi kwenda huko kujiingiza katika maujinga ya Kobaaz.
 
Mbona kama umepaniki bro? Tulia, andika taratibu tutaelewa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…