Sanaa na wasanii, Mkubwa Fella unalilia wakati pesa zipo! Someni hapa

KOBAZ MSAIDIENI KOBAZ MWENZENU.

NYAMBAFF!

Al-mukheef kahtaan THE BIG SHOW Munch wa Annabelle Makebo gallow bird

adriz de mbusii
Wewe mgalatia wa kieskimo msaidie mgalatia mwenzako huyu hapa anaomba mkopo, sio unakula hela za bibi wa kizungu peke yako

 
Mhhh tumsaidie jamaa tuachane na hayo yote ya nyuma hela hata kama ni kweli alikuwa nazo huisha

Mhhh tumsaidie jamaa tuachane na hayo yote ya nyuma hela hata kama ni kweli alikuwa nazo huisha
Tumsadie nini wakati pesa anayo na kama ameichezea kwanini atutwishe sisi mzigo wake? Kila mmoja atabeba mzigo wake mwenyewe. Acha bosi wake amsaidie ila siyo sisi. Si tunaye rais anaeyependa wasanii. Acha amsaidie chawa wake.
 
Mafao ya Udiwani, kafanyia nini? Achana na hizo za kutoka kwa Domokayaaa!!
 
Hahahahahaaaaa ila nyinyi kobaz wabishi hadi umeleta reference Hahahahahaaaaa kobaz mnafanyaga nachekaga. Hahahahahaaaaa πŸ˜‚πŸ€£

adriz de mbusii
 
Sasa kama zimeisha je? Maana hatujui alianza lini matibabu na iligharimu kiasi gani..
 
CCM ni kenge ukipata shida wanakutazama kama umejinyea..
 
Na viatu vya yebo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…