Sanamu la Magufuli na ukarabati wa kumbi za kisasa kujengwa kwa Tsh milioni 420 viwanja vya Sabasaba

Sanamu la Magufuli na ukarabati wa kumbi za kisasa kujengwa kwa Tsh milioni 420 viwanja vya Sabasaba

wangeli bandika na madini mbali mbali na saa za gold na liwe linaogeshwa kila siku na maji vugu vugu!
 
Wewe ni mjinga.kwani sanamu lina nini cha maana duniani hapa hadi watu walionee wivu.Tumia akili zako.
wewe ndo mpumbavu, kinachokuumiza ni kitu gani kujengwa hilo sanamu?

fyatu la Chadema wewe!
 
Hii pesa kaiteketezeni huko burigi kwa kujenga hiyo sanamu huko kwenye kitovu cha utalii.
Kila roho ibaki kwenye mji wake.
 
Duh,ubongo wetu Kuna mahala umeoza!!!kwann hiyo pesa tusinunue hata madawati kwa baadhi ya shule zenye uhaba?au kwanini tusiongeze na tujenge hata kilomita moja tu ya kalami ndani ya mji wa Mwakaleli?au kwanini pesa hiyo tusiongezee ili tujenge jengo la abiria la maana pale SIA(SONGWE INTERNATIONAL AIRPORT)?
Mnakatisha tamaa Sana!!!!
expand...
njia pekee ya kuwakomesha hawa Bavicha ni kumuenzi JPM, Mama anaupiga mwingi mnoo, bado kuifanya Chato kuwa mkoa wataharisha
 
Sanamu nyingine iwekwe keep left ya msamvu,Morogoro. Ntachangia nondo mbili..
 
Daraja la busisi kigongo,limepewa jina linaitwa daraja la Magufuli!! Stand ya mkoa wa dsm imepewa jina inaitwa stand ya Magufuli!! uko dodoma kwa wagogo kuna mji umepewa jina unaitwa magufuli city!! Bado uwanja wa ndege wa chato nao utaitwa Magufuli international airport!!! Bado hamjalidhika mkaona mchonge na sanamu la marehemu lenye thamani ya tsh milioni 480!! Kweli?? Kweli??

Hii nchi inaitaji viongozi wanaopitisha matumizi ya pesa kufanya maujinga kama haya wachomwe moto hadharani kabisa,hizo pesa zinakarabati barabara ngapi za tarura? Hizo pesa zinajenga mashimo mangapi ya choo za shule? Hizo pesa zinajenga madarasa mangapi? Hizo pesa zinajenga nyumba ngapi za waalimu? Hizo pesa zinanunua vitabu vingapi mashuleni? Hizo zinajenga nyumba ngapi za waalimu? Hizo pesa zinajenga nyumba ngapi za madaktali wetu uko vijijini? Jameni!!

Wamepitisha bajeti wameongeza tozo kwenye kila muhamala utakaofanya kwenye simu,wameongeza tozo kwenye kila lita ya mafuta ya petrol!!,wameongeza tozo kwenye kila lita ya mafuta ya dizel!! Wameongeza tozo kwenye kila lita ya mafuta ya taa!!sawa tumekubali tufunge mkanda wanasema pesa ni za kujenga barabara za mjini na vijijini, ndio watumie pesa zote hizo kujenga sanamu kweli?!

Sanamu litasaidia nini wananchi kutatua kero zao?! pesa zetu wananchi sio za kujenga masanamu,pesa zetu ni za kujenga nchi yetu!! Viongozi wamekaa kwenye hizo nafasi wamevimbiwa mpaka wanaamua kujengeana masanamu! Tutakuja kumtia kiongozi kitu cha sanda mchana kweupe ili iwe fundisho kwa wajinga wenzake shwain.
 
Upuuzi mtupu. Wanaoongoza kwa kujengewa masanamu ni viojgozi madikteta.

Umapotengeneza sanamu ya kiongozi aliyeua biashara, akawabambikia kesi wafanyabiashara, akatapanya pesa kwa matumizi yasiyofuata sheria, lengo lako ni nini...
Njia pekee ya kuwakomesha hawa Bavicha ni kumuenzi JPM, Mama anaupiga mwingi mnoo, bado kuifanya Chato kuwa mkoa wataharisha
 
Nchii hii inaongozwa na watu washamba sana sana

Halafu TRA waje kuomba kodi kwa wananchi halafu za kwenda kujenga bango ?

Wacha watu wakwepe kodi tu!!
Mwigulu amesisitiza makampuni ya simu yaanze kututoza pesa zaidi ili wapate kodi kumbe matumizi ya kodi zetu ndiyo haya kujenga sanamu ya kuchonga.
 
Daraja la busisi kigongo,limepewa jina linaitwa daraja la Magufuli!! Stand ya mkoa wa dsm imepewa jina inaitwa stand ya Magufuli!! uko dodoma kwa wagogo kuna mji umepewa jina unaitwa magufuli city!! Bado uwanja wa ndege wa chato nao utaitwa Magufuli international airport!!! Bado hamjalidhika mkaona mchonge na sanamu la marehemu lenye thamani ya tsh milioni 480!! Kweli?? Kweli?...
Jinyonge mbwa weewe.

expand...

Njia pekee ya kuwakomesha hawa Bavicha ni kumuenzi JPM, Mama anaupiga mwingi mnoo, bado kuifanya Chato kuwa mkoa wataharisha
 
Back
Top Bottom