Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe ndo mpumbavu, kinachokuumiza ni kitu gani kujengwa hilo sanamu?Wewe ni mjinga.kwani sanamu lina nini cha maana duniani hapa hadi watu walionee wivu.Tumia akili zako.
Mungu wenu keshakufa..
Masanamu ya kujifariji tutayavunja Tu siku moja...itakua the end for good
Sijui kwanini Kila nikisoma unacho andika huwa nakuona mjinga na mpumbavu sana sana.
njia pekee ya kuwakomesha hawa Bavicha ni kumuenzi JPM, Mama anaupiga mwingi mnoo, bado kuifanya Chato kuwa mkoa wataharishaexpand...
Duh,ubongo wetu Kuna mahala umeoza!!!kwann hiyo pesa tusinunue hata madawati kwa baadhi ya shule zenye uhaba?au kwanini tusiongeze na tujenge hata kilomita moja tu ya kalami ndani ya mji wa Mwakaleli?au kwanini pesa hiyo tusiongezee ili tujenge jengo la abiria la maana pale SIA(SONGWE INTERNATIONAL AIRPORT)?
Mnakatisha tamaa Sana!!!!
njia pekee ya kuwakomesha hawa Bavicha ni kumuenzi JPM, Mama anaupiga mwingi mnoo, bado kuifanya Chato kuwa mkoa wataharishaexpand...
Hii pesa kaiteketezeni huko burigi kwa kujenga hiyo sanamu huko kwenye kitovu cha utalii.
Kila roho ibaki kwenye mji wake.
njia pekee ya kuwakomesha hawa Bavicha ni kumuenzi JPM, Mama anaupiga mwingi mnoo, bado kuifanya Chato kuwa mkoa wataharishaexpand...
Njia pekee ya kuwakomesha hawa Bavicha ni kumuenzi JPM, Mama anaupiga mwingi mnoo, bado kuifanya Chato kuwa mkoa wataharishaUpuuzi mtupu. Wanaoongoza kwa kujengewa masanamu ni viojgozi madikteta.
Umapotengeneza sanamu ya kiongozi aliyeua biashara, akawabambikia kesi wafanyabiashara, akatapanya pesa kwa matumizi yasiyofuata sheria, lengo lako ni nini...
Akawajengee kwa pesa zake siyo?. huku Kodi zao hao wanakijiji mkijengea sanamu. Mizezeta hamtoisha hii nchi na ndiyo sehemu ya kuwafanya viongozi wapigaji kuwa wengi nchiniKawajengee kisima.
Mwigulu amesisitiza makampuni ya simu yaanze kututoza pesa zaidi ili wapate kodi kumbe matumizi ya kodi zetu ndiyo haya kujenga sanamu ya kuchonga.Nchii hii inaongozwa na watu washamba sana sana
Halafu TRA waje kuomba kodi kwa wananchi halafu za kwenda kujenga bango ?
Wacha watu wakwepe kodi tu!!
Jinyonge mbwa weewe.Daraja la busisi kigongo,limepewa jina linaitwa daraja la Magufuli!! Stand ya mkoa wa dsm imepewa jina inaitwa stand ya Magufuli!! uko dodoma kwa wagogo kuna mji umepewa jina unaitwa magufuli city!! Bado uwanja wa ndege wa chato nao utaitwa Magufuli international airport!!! Bado hamjalidhika mkaona mchonge na sanamu la marehemu lenye thamani ya tsh milioni 480!! Kweli?? Kweli?...
expand...
Sawa mr immortal..Mungu wenu keshakufa..
Masanamu ya kujifariji tutayavunja Tu siku moja...itakua the end for good