masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Nimeona clip ya mzanzibari aliyechoka kimawazo akitaka Zanzibar sasa iwe nchi ya kiilamu rasmi na iingie OIC, Nchi za umoja wa Kiislamu.
Jamaa huyu anasema Rais Samia muislamu, Rais Mwinyi mwislamu, waziri mkuu Mwislamu , waziri mambo ya ndani mzanzibari mwislamu, waziri wa mambo ya nje muislamu.
Jamaa anasema tupige hapo kabla hajaingia rais mkristo.
Imenishangaza kwa kweli.