Sasa hivi viongozi WOTE wa juu ni waislamu, Zanzibar iingie OIC- by mzanzibari mkorofi.

Sasa hivi viongozi WOTE wa juu ni waislamu, Zanzibar iingie OIC- by mzanzibari mkorofi.

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,207
Reaction score
13,839

Nimeona clip ya mzanzibari aliyechoka kimawazo akitaka Zanzibar sasa iwe nchi ya kiilamu rasmi na iingie OIC, Nchi za umoja wa Kiislamu.

Jamaa huyu anasema Rais Samia muislamu, Rais Mwinyi mwislamu, waziri mkuu Mwislamu , waziri mambo ya ndani mzanzibari mwislamu, waziri wa mambo ya nje muislamu.
Jamaa anasema tupige hapo kabla hajaingia rais mkristo.

Imenishangaza kwa kweli.
 
View attachment 3113007
Nimeona clip ya mzanzibari aliyechoka kimawazo akitaka Zanzibar sasa iwe nchi ya kiilamu rasmi na iingie OIC, Nchi za umoja wa Kiilamu.

Jamaa huyu anasema Rais Samia muislamu, Rais Mwinyi mwislamu waziri mambo ya ndani mzanzibari mwislamu, waziri wa mambo ya nje mwislama.
Jamaa anasema tupige hapo kabla hajaingia rais mkristo.

Imenishangaza kwa kweli.

"Kuna siku nilikuwa kwenye baraza la kiislamu nikawaambia msheikh nchi yetu haina dini ,wale masheikh wakastuka wakainamisha kichwa chini "allaastakafurialai "na siku nyingine nikaalikwa zanzibar kwa maaskofu ,nikmasema ngoja nirudie ile ile ,nikawaambia nchi yetu haina dini maaskofu nao wakstuka ila nikaalewesha kwamba nchi yetu haina dini ila wananchi wake wana dini ,dini yangu mimi siyodini ya watanzania" - Julius Kambarage Nyerere 1995 Kilimanjaro Hotel
 
Kobaz na akili havijawahinkuwa pamoja. Na hayo mawazo ya wazenj wengi kwa upeo wa mwisho kabisa
 
View attachment 3113007
Nimeona clip ya mzanzibari aliyechoka kimawazo akitaka Zanzibar sasa iwe nchi ya kiilamu rasmi na iingie OIC, Nchi za umoja wa Kiilamu.

Jamaa huyu anasema Rais Samia muislamu, Rais Mwinyi mwislamu waziri mambo ya ndani mzanzibari mwislamu, waziri wa mambo ya nje mwislama.
Jamaa anasema tupige hapo kabla hajaingia rais mkristo.

Imenishangaza kwa kweli.
Mpumbavu, Hii Nchi udini Upo saaana Ila viongozi wanajifanya hawajui
 
Huzuni sana, sijui Nyerere alipatwa na nini kutuunganisha na hawa watu
usidanganyike nyerere sio shida,shida ni walioungwa ndo wanashindwa wenyewe by the way ukikaa ukatulia Africa hatutakiwi kuhubiri kitu kinachoitwa muungano,kuvunja muungano kama sisi wenyewe hatukujitenga walitutenganisha wakoloni na tukapambana kutoka huko, maana yake tulijikomboa pia kutoka kwenye partition waliyotufanyia wakoloni nje na hapo basi tutakuwa bado tuna chembechembe za urithi wa ukoloni kama bado tunahubiri kutengana!.
 
Back
Top Bottom