masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
View attachment 3113007
Nimeona clip ya mzanzibari aliyechoka kimawazo akitaka Zanzibar sasa iwe nchi ya kiilamu rasmi na iingie OIC, Nchi za umoja wa Kiilamu.
Jamaa huyu anasema Rais Samia muislamu, Rais Mwinyi mwislamu waziri mambo ya ndani mzanzibari mwislamu, waziri wa mambo ya nje mwislama.
Jamaa anasema tupige hapo kabla hajaingia rais mkristo.
Imenishangaza kwa kweli.
Hata kama vichwani haziwatoshi, Ila wanapaswa kutambua kuwa 65% ya Watanzania are not wavaa kubazi wala kanzu !Wavaa kobazi hawaja wahi kuwa na akili
Mpumbavu, Hii Nchi udini Upo saaana Ila viongozi wanajifanya hawajuiView attachment 3113007
Nimeona clip ya mzanzibari aliyechoka kimawazo akitaka Zanzibar sasa iwe nchi ya kiilamu rasmi na iingie OIC, Nchi za umoja wa Kiilamu.
Jamaa huyu anasema Rais Samia muislamu, Rais Mwinyi mwislamu waziri mambo ya ndani mzanzibari mwislamu, waziri wa mambo ya nje mwislama.
Jamaa anasema tupige hapo kabla hajaingia rais mkristo.
Imenishangaza kwa kweli.
usidanganyike nyerere sio shida,shida ni walioungwa ndo wanashindwa wenyewe by the way ukikaa ukatulia Africa hatutakiwi kuhubiri kitu kinachoitwa muungano,kuvunja muungano kama sisi wenyewe hatukujitenga walitutenganisha wakoloni na tukapambana kutoka huko, maana yake tulijikomboa pia kutoka kwenye partition waliyotufanyia wakoloni nje na hapo basi tutakuwa bado tuna chembechembe za urithi wa ukoloni kama bado tunahubiri kutengana!.Huzuni sana, sijui Nyerere alipatwa na nini kutuunganisha na hawa watu