Uchaguzi 2020 Sasa ni dhahiri ubunge Kigamboni itakuwa Makonda (CCM) vs Yericko Nyerere (CHADEMA)

Makonda hawezi kuongoza hata familia, matamko yake 18 mpaka sasa hakuna hata moja limewahi kutekelezeka, Yericko wlau anatosha
 
Toa sababu

In God we Trust
Mkuu,kusoma hujui hata picha nayo huoni?!
Usiweke hisia na uchama, Makonda ni mtu aliyejipambanua vyema katika nyanja ya siasa licha ya mapungufu yake kadha wa kadha..!
Na ana uthubutu kuliko walio wengi..!
 
Bora aendelee kuuza vitabu hela yake italiwa bure. Yaani hapo ni sawa na guta lishindane mbio na toyo
 
Kama ndio hivi Chadema watapata wabunge wangapi nje ya mkoa wa kilimanjaro?
 
Huyo makonda hakuna mtu wa anampa kura - kwanza kafanya nini cha mno hadi azawadiwe ubunge na wana kigamboni? akagombee kwao ubashiteni huku hatumtaki atuache na shida zetu.
 
Uthubutu?labda wa kuchapa makofi wazee wazembewazembe waliopo huko Lumumba
Mkuu,kusoma hujui hata picha nayo huoni?!
Usiweke hisia na uchama, Makonda ni mtu aliyejipambanua vyema katika nyanja ya siasa licha ya mapungufu yake kadha wa kadha..!
Na ana uthubutu kuliko walio wengi..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani Makonda wanamuweka na Yeriko kweli ... Alafu akishinda mseme ameiba kura ... wana Dar es salaam wangapi wanamfahamu Yeriko Nyerere ... That will not be a war... it’s massacre
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…