Sasa nimeamini kuwa akutukanae hakuchagulii Tusi, Asante sana Rais Samia....!!!


Mbwa wewe nimekwambia amehangaika miaka 3 akifanya vitu vingine kenge wewe, Amekaa tu ulikuwa unamlisha wewe Shenzhen?
 
Sitaki sana kumjadili huyu mama ila siungi kabisa mkono mzanzibar kuwa rais wa jamhuri ya muungano, hii ni sawa na kumchukua dereva toyo aendeshe bus, km vip kuwe na rais wa bara na rais wa visiwani vinginevyo huu muungano ujadiliwe pengine nyakati zake zimepita.
 
Mama ashapima upepo anajua vijana hawamkubali kabisaa kaona awatukane kihvyo

Vijana wametafuta fursa za biashara ndogondogo kwa jasho na damu lakn ameamua kuwafukuza wasionekane waende porin wakauzie biashara zao huko atanunua Nani?

Kijana akiamua kufanya kilimo Leo mfuko wa mbolea tsh 102000/= serikali baitoi ruzuku hata kidogo

Kijana huyo huyo akiamua kulima kiugumu Bado serikal inambana Bei ya mazao ndogo inamzuia kuuza nje kwenye Bei nzuri

Kiukwel huyu mzanzibar ameota pembe kabisa maneno yake ya siku hiz mbili n shida Sana anachamba na si kutoa matumaini kwa wananchi

TUMEBUGI SANA KUMPA MADARAKA HUYU MZANZIBAR

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Nionyeshe mahala uliposema akifanya vitu vingine
Mbwa wewe nimekwambia amehangaika miaka 3 akifanya vitu vingine kenge wewe, Amekaa tu ulikuwa unamlisha wewe Shenzhen?
Sawa mzehe kwa tusi
 

Madaraka umempa wewe?
 
Nchi hii inafikirisha sana.
Rais anapopewa madaraka anakuwa kipofu na haoni tabu za watu wake, anageuka msimangaji.
Ninampa pole jinsi anavyolikoroga kila siku.

Nilitofautiana na jiwe mara nyingi lakini sasa tuko chaka zito na mbele ni giza/kiza totoro.
 
Umuache mama yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…