SATIVA adhibitiwe kwa matusi ya nguoni anayotoa mitandaoni

SATIVA adhibitiwe kwa matusi ya nguoni anayotoa mitandaoni

Ameshawataja waliosababisha aathirike kisaikolojia lkn bado mnajitoa ufahamu. Ataendelea kutema nyongo hadi pale mtakapowakamata na kuwafikisha mbele ya sheria wabaya/watesi wake.
Siyo suala la kutaja tu paspo kuwa na ushahidi wa aina yoyote ile
 
Kichaa.....
Mwendawazimu...

Umeyatumia katika andiko lako........tofauti ni ipi kati yako na yeye?
Weka sentesi nzima mahali yalipotumika hayo maneno.Nimesema haiwezekani mtu akaachwa aendelee kutukana matusi utafikiri kichaa au mwendawazimu pasipo kuchukuliwa hatua za kisheria
 
😀🤣😀 na anapiga spana haswaaa yule jamaa anasema polisi ndo wamemfndsha matusi 🥲 sidhani kama yuko bongo
 
..hatuishi kwa sababu ya kipato, ndio maana umekubali kuwa mpumbavu sababu ya kipato? hakuna anayemchochea, amefanya hayo mara kwa mara, tunashangaa wewe kuumizwa na matusi badala ya kuumizwa kwanza na waliomfanyia hicho kinachomfanya atukane!
mimi kazi yangu ni kutoa mawaidha na nasaha muhimu kw wadau namna ambavyo ustaarabu ni muhimu kwenye maisha..

daima siwezi kubabaika na mihemko au matusi ya mtu awae yeyote, ispokua namuonea huruma sana, hasa kwa wale ambao hujibu matusi yako kwa vitendo..

ni hatari na ni mbaya sana 🐒
 
Weka sentesi nzima mahali yalipotumika hayo maneno.Nimesema haiwezekani mtu akaachwa aendelee kutukana matusi utafikiri kichaa au mwendawazimu pasipo kuchukuliwa hatua za kisheria
Ni bora usingetumia kabisa maneno hayo......huna tofauti na yeye
 
Hili ni tusi la mwaka ETI NI KATIBA NI KIJITABU TU hili ni tusi kwetu Sisi wananchi hongera sativa
 
Ilibaki kidogo tu mumuue.
Yaani sasa unaona matusi yake ni mazito kuliko uhai wake?

Mnajiona nyie ndio mnaostaili kuishi tu!!
Acheni hizo
Na nyie ndio mnaostahili kutukànà tu!!
Acheni hizo.
 
Akipotea Unaathirika nn? hayo ni Manisha aliyojichagulia km wewe ulivyochagua kuwa chawa wa kububujikwa na machozi ukimuona mama kajitokeza hadharani
Kila uhuru una mipaka yake.huwezi ukasema aachwe aendelee kutukana watu matusi.hiyo haiwezekani hata kidogo katika Taifa hili.
 
Hana cha kupoteza. Wao walimuua japo hakufa. Wavumilie tu matusi yake
 
mimi kazi yangu ni kutoa mawaidha na nasaha muhimu kw wadau namna ambavyo ustaarabu ni muhimu kwenye maisha..

daima siwezi kubabaika na mihemko au matusi ya mtu awae yeyote, ispokua namuonea huruma sana, hasa kwa wale ambao hujibu matusi yako kwa vitendo..

ni hatari na ni mbaya sana 🐒
..bora ukae kimya, na kama ni huruma waonee huruma unaosema watamjibu kwa vitendo, sababu nao ipo siku yatakayowapata ni gharama ya waliyofanyia watu..ukiruhusu akili yako itoke nje ya unacholishwa utaifahamu dunia ilivyo..sadam hussein kutoka hali ya kulindwa na majeshi yenye dhana zote unazozijua na usizozijua, hatima yake ni kuokotwa kwenye mtaro ambako hata muda wa kunyoa ndevu na kunawa uso hakuwa nao! elewa kijana..don't be fool with petty cash they r giving you! wahurumie wao uwaambie ukweli..dunia si yetu sote, km wako tayari kwa lolote, hata sativa yuko tayari kwa lolote! t s 0-0....
 
Back
Top Bottom