Kigera Kwetu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,448
- 1,311
Kichaa.....Nionyeshe hayo matusi.
Mwendawazimu...
Umeyatumia katika andiko lako........tofauti ni ipi kati yako na yeye?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kichaa.....Nionyeshe hayo matusi.
Ni kweli 100%Wewe inasemekana ulikuwa unatoka na Makonda then akakuchukua Kafulila. Hayo maneno yamezagaa sana siyo riziki
Siyo suala la kutaja tu paspo kuwa na ushahidi wa aina yoyote ileAmeshawataja waliosababisha aathirike kisaikolojia lkn bado mnajitoa ufahamu. Ataendelea kutema nyongo hadi pale mtakapowakamata na kuwafikisha mbele ya sheria wabaya/watesi wake.
Weka sentesi nzima mahali yalipotumika hayo maneno.Nimesema haiwezekani mtu akaachwa aendelee kutukana matusi utafikiri kichaa au mwendawazimu pasipo kuchukuliwa hatua za kisheriaKichaa.....
Mwendawazimu...
Umeyatumia katika andiko lako........tofauti ni ipi kati yako na yeye?
mimi kazi yangu ni kutoa mawaidha na nasaha muhimu kw wadau namna ambavyo ustaarabu ni muhimu kwenye maisha....hatuishi kwa sababu ya kipato, ndio maana umekubali kuwa mpumbavu sababu ya kipato? hakuna anayemchochea, amefanya hayo mara kwa mara, tunashangaa wewe kuumizwa na matusi badala ya kuumizwa kwanza na waliomfanyia hicho kinachomfanya atukane!
ibu swalim kaka vipi alipotaka kukatishiwa maisha yake ulipaza sauti ivi acha pang'ang'a..ametukanaje kwani mkuu🤔Ninyi ndio mnampoteza huyo kijana badala ya kumsaidia hata kwa ushauri wa kisaikolojia. Hivi hamuoni kuwa anaendelea kupotea kabisa.
Ni bora usingetumia kabisa maneno hayo......huna tofauti na yeyeWeka sentesi nzima mahali yalipotumika hayo maneno.Nimesema haiwezekani mtu akaachwa aendelee kutukana matusi utafikiri kichaa au mwendawazimu pasipo kuchukuliwa hatua za kisheria
Hajitambui kabisa yule jamaa.ndio maana anajiropokea tu chochote kile kinachomjia Mdomoni mwake😀🤣😀 na anapiga spana haswaaa yule jamaa anasema polisi ndo wamemfndsha matusi 🥲 sidhani kama yuko bongo
Na nyie ndio mnaostahili kutukànà tu!!Ilibaki kidogo tu mumuue.
Yaani sasa unaona matusi yake ni mazito kuliko uhai wake?
Mnajiona nyie ndio mnaostaili kuishi tu!!
Acheni hizo
Acha matusi yako hapa.Wewe ni li pumbavu , tena mnafiki, mbona hukosoi kwa aliyotendewa?.
Ungeacha wenye akili Timamu wajadili hojaWewe ndiye wa kusaidiwa huo uchawa wako umepitiliza umekuwa mjinga kabisa.
Wewe ndie unajitambua?Hajitambui na kina kitu kinamsumbua kichwani mwake
IGP anastahili wasifu huo kwa sababu hawajibiki ipasavyoOna tusi hili kww IGP Camillius Wambura:-
View attachment 3159388
Kila uhuru una mipaka yake.huwezi ukasema aachwe aendelee kutukana watu matusi.hiyo haiwezekani hata kidogo katika Taifa hili.Akipotea Unaathirika nn? hayo ni Manisha aliyojichagulia km wewe ulivyochagua kuwa chawa wa kububujikwa na machozi ukimuona mama kajitokeza hadharani
Ndio.Wewe ndie unajitambua?
..bora ukae kimya, na kama ni huruma waonee huruma unaosema watamjibu kwa vitendo, sababu nao ipo siku yatakayowapata ni gharama ya waliyofanyia watu..ukiruhusu akili yako itoke nje ya unacholishwa utaifahamu dunia ilivyo..sadam hussein kutoka hali ya kulindwa na majeshi yenye dhana zote unazozijua na usizozijua, hatima yake ni kuokotwa kwenye mtaro ambako hata muda wa kunyoa ndevu na kunawa uso hakuwa nao! elewa kijana..don't be fool with petty cash they r giving you! wahurumie wao uwaambie ukweli..dunia si yetu sote, km wako tayari kwa lolote, hata sativa yuko tayari kwa lolote! t s 0-0....mimi kazi yangu ni kutoa mawaidha na nasaha muhimu kw wadau namna ambavyo ustaarabu ni muhimu kwenye maisha..
daima siwezi kubabaika na mihemko au matusi ya mtu awae yeyote, ispokua namuonea huruma sana, hasa kwa wale ambao hujibu matusi yako kwa vitendo..
ni hatari na ni mbaya sana 🐒
Acha kuweweseka hapa.Wewe ni IGP ? Punguza UPUMBAVU. Punguani wewe