SATIVA adhibitiwe kwa matusi ya nguoni anayotoa mitandaoni

..ila kumteka mtu kwa siri kutaka kumuua ni ujasiri!
 
Mwacheni ateme nyongo kupitia hayo matusi aliyopitia ni makubwa,
Ameamua kuitafuta haki yake kwa style hiyo na mnabahati sana kwa kitendo alichofanyiwa huyu kijana,
Nchi za kiislamu ndio maana wanajutoa sadaka (jihad) .
Nawashauri serikali yenu muwe wapole tu kwakuwa mmeshindwa kusimama katika haki mi nashangaa Tanzania inakuwaje nchi ya demokrasia na hayo makandokandoπŸ€”
 
Sema watu tunatofautiana kuona mambo. Sativa si kama wewe hapo ulivyo. Ameptia experience ambayo alishajiona kama mfu, kama ilivyotokea kwa Tundu Lissu pia. Mtu yeyote aliyewahi kupitia experience hiyo: hutokea reactions za aina mbili kama copying mechanism: 1) kutosema jambo lolote kabisa (mf. alivyofanya Ulimboka) au kusema sana: mf. kama inavyotokea kwa Sativa na Tundu Lissu). It's just a copying mechanism baada ya kuona kwamba wamesalimika kifo. Ni reaction ya kibinadamu, na wala wanayosema hawafanyi hivyo kwa lengo ya kumuudhi mtu. Ni sisi tu kuelewa experience waliyopitia. Ni kama unapokutana na threatening incident, moyo utatunda na utatoka jasho. Siyo kwamba unapenda moyo udunde au jasho litoke, hapana. Ni jinsi mwili unavyo'react' au respond kwa situation uliyokutana nayo. Kuna mtu nilishakutana na Simba na, alipambana naye hata kuweza kumuua bila silaha. Baada ya hapo, alikuwa na 'courage' ya ajabu. Imagine, unatembea zako sehemu, and all a sudden, unashambuliwa na simba, na unapambana jinsi ulivyo mpaka kumuua simba. Utakapotoka hapo, si utakuwa mtu tofauti kabisa? Huwezi kutishika tena na simba, chui, duma, fisi, etc. Kwa hiyo, kwa upande wangu anachofanya Sativa ni sehemu ya 'healing process' and let's allow that to happen, na baadaye hiyo process ikikamilika, atakuwa mtu tofauti, maana atakuwa ame'recover'. Hivyo, wewe usiye na experience kama yake huwezi kumwelewa, lakini ukisoma saikolojia utaona haya mambo hutokea kama 'healing process'. Ni kama kwa baadhi ya watu wakifiwa, hulia na wengine huwa hawalii. Mara nyingi tunaona wanaolia kama "dhaifu" na wale wasiolia kama "wanaume". Anayelia, anapitia hiyo 'healing process'. Asiyelia naye ni namna yake, ila kama haitakamilika (kama lengo ni ku'prove' kwa watu kama yeye ni mwanaume hawezi kulia) inaweza ikajitikoza katika mambo mengine kama 'nerve breakdown' etc. Hivyo, ni muhimu to take care of our psychological needs well.
 
Matusi hayakubaliki na wala mtu hawezi kuvumiliwa au kuachwa aendelee kutukana matusi kama kichaa au mwendawazimu.ni lazima adhibitiwe na kufikishwa katika vyombo vyo sheria .ni lazima afundwe kisheria.
..kumteka kunakubalika? waliotaka kumuua wao si wendawazimu au vichaa, mbona husemi wafikishwe wao kwanza kwenye vyombo vya sheria..
 
Mkuu unafikiri risasi ipenye nyuma ya kichwa itokee mbele ya mdomo ni jambo dogo ? Hata kama kachanganyikiwa walio mfanyanyia lile tukio nao wanahusika kwenye kuchanganyikiwa kwakeπŸ€”
Hv n alipigwa risasi ya kichwa au ya taya? Hizi movie mnazotengeneza hizi πŸ™Œ
Yn kukoswa kupigwa risasi ya kichwa na kupigwa ya taya Bc hapo n amepigwa risasi ya kichwa πŸ˜‚
 
..ila kumteka mtu kwa siri kutaka kumuua ni ujasiri!
nimeeleza mwanzo hayo ni matokeo ya wasio weza kujibu matusi yako kwao kwa maneno dhidi yako.

Jiepushe kuporomosha matusi kwa wasio weza kustahimili kutukanwa, zaidi sana watakujibu kwa vitendo na matokeo yake utaishia kupata huruma tu za jamii huku wewe binafsi ukipitia maumivu makali kimwili na kiroho n.kπŸ’
 
..maslahi gani mapana? yataje..unakalilishwa mambo km juha!
 
Wewe ni IGP ? Punguza UPUMBAVU. Punguani wewe
 
Sorry Braza najua hizi ni hasira za Mganga aliekuuza ukagombee kwa hiyo laki tano.

Mungu hakai kwenye Genge la wahalifu na Warogi.
Neema na Baraka za Mungu zitaendelea kuambatana na kuandamana nami daima,

nami nitaendelea kua muaminifu kwa Mungu na kwa wananchi, ili kibali changu cha utumishi uliotukuka kwa wananchi kisiishe muda wake, badala yake kingare zaidi huko tuendako.

hekima, busara, na moyo wa ustahimilivu, kujitolea na subra viendelee kutawala akili na nafsi yangu ili kila mwenye moyo mgumu, ashuhudie Neema na Baraka za Mungu kupitia mimi πŸ’
 
..sativa hatukani mtu au watu ovyo, kama hupendi au una allegy ya kusemwa au kutukanwa, t s simple ondoka kwenye nafasi inayokuletea kutukanwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…