geofreyngaga
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 658
- 946
mkuu umeongea point. Leo hii hakuna kiwanda kinachotengeneza kila kitu chenyewe zaid ya assembling ya items mbalimbali ili kupata a complete system. Lkn pia hata kama masoud kakosea basi tumshauri na kumkosoa kwa staha ili kumtia moyo afanye vzr zaidi na kuencourage wengine. Kwa kumkosoa vibaya ni rahisi kuzima ndoto za wengine kirahisi hence kuua maendeleo ya nchi.Body marcopolo Brszil
Engine Cummins Marekani
Gear box Sweeden
Diff Japana
Gari limetengenezwa kwenye assembling plant ya China model ya Yutong mpo hapo?
Sasa huyu anashindwa kuelewa kuwa Simu za Samsang zinatengenezwa S.Korea lakini betri zake zinatengenezw china na cover zinatengezwa Vietnam.?Masoud Kipanya ameposti video hii kwenya akaunti ya Mtandao wa Kijamii wa Twitter akisema "Sauti kutoka Kikao kilichohusisha wawakilishi kutoka wizara ya Uwekezaji, Viwanda na biashara na taasisi zilizo chini ya wizara hiyo kikijadili mustakabali na maendeleo ya Tanzania ya viwanda"
Haa HaaYaani aunge mkono vitu vya kipumbavu...ile gari inatudhalilisha wananchi
Wapi na lini kasema amegundua gari acheni wivu wadau.mbona taleban wameunda gari kwa kutumia mabaki ya magari mengine mfano engine ni ya toyota Corolla tatizo lipo wapi? Hivi karibuni Apple wametangaza kuanza kutengeneza display screen za kwenye magari na manufacturers wa magari wameanza kuweka order ili kutumia kwenye magari yao kuna ubaya gani?Mtu ana design body anasema amegundua gari
Masoud Kipanya ameposti video hii kwenya akaunti ya Mtandao wa Kijamii wa Twitter akisema "Sauti kutoka Kikao kilichohusisha wawakilishi kutoka wizara ya Uwekezaji, Viwanda na biashara na taasisi zilizo chini ya wizara hiyo kikijadili mustakabali na maendeleo ya Tanzania ya viwanda"
Acha ujinga hamna sauti ya waziri hapo wabongo kuweni na akili hata yakuchambia chooni tu!!Waziri wa viwanda oneshe gari yake ambayo hajanunua china
Waziri mzima hajasoma misingi ya innovation.
Kinsingi karne ya 21 Hakuna invention ya gari bali kuna
innovation ya gari.
Hata Elon Musk hagundui gari mpya bali anafanya innovatio kwa kutumia teknolojia zilizopo kama motor,gear ya motor, computer gps, AI nk.
Tesla car si ugunduzi mpya ila wanajaribu kufanya ugunduzi mpya ktk betri, fast charging system na vitu vichache.
Huyo waziri ni kilaza sana.
Hajaelimika kabisa.
Waziri kasome historia ya
.Basi za Yotong, ilikuwa gereji.
.Fecon motorbike
.Honda, huyu alianza kukarabati baiskeli baadae pikipiki.
.Dell computer ilikuwa karakana ya electronics.
.Stive Job nae amewahi kuwa fundi wa kukarabati electronics gadget baadae apple co.
Historia ni nyingi mno
Viongizi badala ya kuwapa moyo watu wanaojaribu wao wanawakatisha tamaa, hii ni tabia ya waafrika wengi tofauti na rangi nyingine, viogizi ndio mashimo ya kudidimiza fikra za kimapinduzi.Hovyo saba.
Elon Musk angebakia Afrika angekutana viongozi mfu kana hawa bora alienda USA the country of big dream.
Masoud akihamia marekani ndoto yake itakuwa ya kweli.
Watu wana wivu tu mkuu eti wanataka agundue kila kituBody marcopolo Brszil
Engine Cummins Marekani
Gear box Sweeden
Diff Japana
Gari limetengenezwa kwenye assembling plant ya China model ya Yutong mpo hapo?
Kuna watu wajinga sana hapa bongo achana nao wana wivu tuWaziri wa viwanda oneshe gari yake ambayo hajanunua china
Waziri mzima hajasoma misingi ya innovation.
Kinsingi karne ya 21 Hakuna invention ya gari bali kuna
innovation ya gari.
Hata Elon Musk hagundui gari mpya bali anafanya innovatio kwa kutumia teknolojia zilizopo kama motor,gear ya motor, computer gps, AI nk.
Tesla car si ugunduzi mpya ila wanajaribu kufanya ugunduzi mpya ktk betri, fast charging system na vitu vichache.
Huyo waziri ni kilaza sana.
Hajaelimika kabisa.
Waziri kasome historia ya
.Basi za Yotong, ilikuwa gereji.
.Fecon motorbike
.Honda, huyu alianza kukarabati baiskeli baadae pikipiki.
.Dell computer ilikuwa karakana ya electronics.
.Stive Job nae amewahi kuwa fundi wa kukarabati electronics gadget baadae apple co.
Historia ni nyingi mno
Viongizi badala ya kuwapa moyo watu wanaojaribu wao wanawakatisha tamaa, hii ni tabia ya waafrika wengi tofauti na rangi nyingine, viogizi ndio mashimo ya kudidimiza fikra za kimapinduzi.Hovyo saba.
Elon Musk angebakia Afrika angekutana viongozi mfu kana hawa bora alienda USA the country of big dream.
Masoud akihamia marekani ndoto yake itakuwa ya kweli.
Wana roho mbaya tuDaaah, tumekwisha, mnamuonea wivu mtu anaejtuma wakati ninyi mnakula posho tu
Buni na wewe ya mwaka 1654 tuione, acheni roho mbayaJamaa anataka watu waingize pesa kwenye huo mchongo wake 😄 mambo sio rahisi kihivyo aisee
Karne hii kweli unakuja na kitu kimeshindwa kufikia hata kiwango cha gari iliyotengenezwa 1887
Lete ya kwakoHilo gari anatakiwa alipitishe kwenye madimbwi muda huu wa mvua ili kuona je halitapiga shot
Anatakiwa aliendeshe angalau hadi Mwanza au Kigoma akiwa na watafiti ili wagundue shida ikoje.
Tesla imepitia stages nyingi na kila siku wanafanya updates
Roho mbaya kwa sabb gan mbona tunafurahia katuni zakeBuni na wewe ya mwaka 1654 tuione, acheni roho mbaya
Hakuna cha wivu angalia magari ya 2023 na fananisha na hilo la kipanya watanzania tuachen kutafuta huruma, cheap popularity na ujanja ujanjaKuna watu wajinga sana hapa bongo achana nao wana wivu tu
Let's be serious bwana,yaani wizara ipoteze muda kujadili kagari ka kipanya?tekinolojia ya magsri hapa nchini imeishafika mbali sana,jwtz wanatengeneza injini za diesel,waliwahi kutengeneza gari,Sauti kutoka Kikao kilichohusisha wawakilishi kutoka wizara ya Uwekezaji, Viwanda na biashara na taasisi zilizo chini ya wizara hiyo kikijadili mustakabali na maendeleo ya Tanzania ya Viwanda.
Hivi kama watu wenye mawazo ya aini hii ndio wamepewa mamlaka ya kusimamia masuala ya ukuzaji uzalishaji wa vitu nchini kuna mahali tutaenda kweli?
Kwenye maisha hatuwezi wote kuwa wabunifu wa magari ndo maana kuna specializationLete ya kwako
Hata body design kaikosea kinyama haiko kwenye miaka ya sasa. Yaani bora angeweka muda zaidi kufanya tafiti na kupatentKipaya labda alichofanya ni body design,lakini kila kitu kanunua china kuanzia engine hadi rangi
Utaitwa mwenye wivuGari ni engine je huyo masud kaunda engine au kachomelea body tu nadhani kwenye video badala ya kuonesha body angeonesha engine manufacturing from scratch
Body design ni mbaya, ukipata ajali pale hawaokoti kitu.Nakwambia hivii
Huu muundo wa gari yake haufikii hata ile ford ya 1880s