Jamaa anakuambia ile helikoptaAkamsome rj scaringe ceo wa rivian jamaa kabuni gari lake ubunifu wake umewavutia wawekezaji sahv ni bilionea
Sasa lile body kweli lingeweza hata nyenyuka?Jamaa anakuambia ile helikopta
Iliyoundwa mbeya...inafaa kunywea
Pombe tu ndani [emoji1]
Ova
Fala anadharau aisee.πππJamaa anakuambia ile helikopta
Iliyoundwa mbeya...inafaa kunywea
Pombe tu ndani [emoji1]
Ova
Hatua mbili kutengeneza toy lile?Yani kuna watu hata hatua moja hajapiga lkn anakandia vibaya mno aliyepiga hatua mbili
Nakubaliana na wewe, sasa baada ya kumwambia uwezi amka na stoo yako na kuanza kuchomelea chomelea tumshauri nn afanye kuondoa makosa kuliko kumwacha peke yake. Na amini mpaka umeandika hivyo kuna kitu unajua na unaweza kumshauri vzr zaidi mkuu.Huwezi amka na stoo yako ukasema leo naunda gari, ukachomelea chomelea tu na kusema gari hili hapa.
Wamakua mnakosa kweli nyie?π€£Am nyashless
Hata toyota alianzia huko hukoHatua mbili kutengeneza toy lile?
Badala ya kuita moyo wanamuita muhuni hawa viongoz ovyo kabsaaa yeye amegundua nne??Daaah, tumekwisha, mnamuonea wivu mtu anaejtuma wakati ninyi mnakula posho tu
Kitu ni anatakiwa awe na wazo, atafute watu wafanye design ya kila kituNakubaliana na wewe, sasa baada ya kumwambia uwezi amka na stoo yako na kuanza kuchomelea chomelea tumshauri nn afanye kuondoa makosa kuliko kumwacha peke yake. Na amini mpaka umeandika hivyo kuna kitu unajua na unaweza kumshauri vzr zaidi mkuu.
Masoud nae anaona gari lile [emoji23][emoji23] nchi ngumu sana hii
Walevi wanajiona wako ndani ya helicopter πJamaa anakuambia ile helikopta
Iliyoundwa mbeya...inafaa kunywea
Pombe tu ndani [emoji1]
Ova
Kafie mbele hukoUtakuta kachukia jina Masoud tu, ingekuwa ni Samweli angesifia.