Sauti yako ina kutafsiri kama mtu wa namna gani?

Nimekuelewa Mchungaji
 
Disko limeingia mmasai
 
Haya lete hiki ulichoandika kwa voice tukuelewe maza Theresa 😹😹
Sauti yangu haitakuwa na maana kama moyo wako umeufunga! Hata Yesu mwenyewe hajaanza na sauti. Ameanza kwa kubisha mlangoni. Anasema, "Kama mtu akiufungua mlango, nitaingia kwake." (Ufunuo 3:20). Acha mzaha, tubu uokoke kabla mlango wa rehema haujafungwa. Ya kesho huyajui. Huenda...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…