Dalali wa Mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,119
- 1,618
Aah mnanipanga kwa sauti gani niliyonayo bhana πKweli ndugu yangu Dr. Mariposa ana sauti nzuri, Kijana Masikini anatubania kupata sauti ya marry D kampiga biti asitume sauti yake ππ
Naogopa kutuma sauti yangu, mashangazi ya JF yataniganda jinsi nilivyo cuttie.Aah mnanipanga kwa sauti gani niliyonayo bhana π
Mkuu nipo kwenye huba zito kiasi siwezi kumpimga la mama, ama kweli vitabu vitakatifu vilikuwa sahihi kuandika 'utampata wa kufanana nae'Kweli ndugu yangu Dr. Mariposa ana sauti nzuri, Kijana Masikini anatubania kupata sauti ya marry D kampiga biti asitume sauti yake ππ
Hahahaha hata sijui wanarekodia wapi πTuma sauti yako tuwakomeshe mashangazi ya JF.
Dokta hebu nitag kwenye sauti uliyotuma nikajilimbwase πAah mnanipanga kwa sauti gani niliyonayo bhana π
Kweli una sauti nzuri, na jinsi unavyoongea πAah mnanipanga kwa sauti gani niliyonayo bhana π
Rekodi sauti kwa simu yako then itume kupitia attach filesHivi mnatumaje nitume
Mhm.m sijaonaNimetuma tena mbili huko juu,
Nasubiri yako piaπ
Watakuja wenyewee hapaa. πππWeeeeh!! Kina nani hao tena hebu watag waje hapa kijiwe kichangamke..!! πΉπΉ
Aaaah wee!! ππππWeka bhana πΉπΉ
Asante Monetary doctor kwa swali zuriKutubu ni nn?
Akisikia kijana masikini inatosha π€©Kipenzi tusikie sauti yakoπ₯°
ππππAu una vina saba naeπ€£
Nyie ndo mkiongea mtu unageuka unajiuliza baba nani kumbe ni mama zenaππ
Dalali weka sauti nasubiri πΉπΉBila Shaka Sauti ya kidalali mnaijua
Napika pilau la nazi leoo we subiri bossMkali tupia sauti , yale mapishi yako sio poa bwashee
ππππUkiweka sauti yako unitage
Uduguu weka, kwanza ulienda wapi?Aaaah wee!! ππππ
PoleeeeeeeeeeeeeeeeMhm.m sijaona