Sauti yako ina kutafsiri kama mtu wa namna gani?

Kwa mujibu ya waliosikia sauti yangu kabla ya kuniona walinitafsiri kama brotherman fulani naye vimba alafu nimejipata kumbe ni mshikaji tu wa geto anayepambania maisha yake.
Mungu awabariki wale wenye wadada wenye sauti za kukwaruza, ukweli nikisikia sauti zao tu baaasissss!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…