Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Lazima mrejesho π uletwe kwenye uziii wa RICK BOYJamaa ashindwe mwenyew
Nikiwa Kama APOSTLEHaswa π.
Na napenda mwanamke mtulivu anayeniheshimu basssss!
πΉπΉ Muda wa kazi huu, naona hii challenge ifanyike weekend tukiwa vyomboβ¦!!Haya leo tunaendelea tena saa ngapi?
Tafuta sehemu tulivu kabisaπ
Sikupingi madamπΉπΉ Muda wa kazi huu, naona hii challenge ifanyike weekend tukiwa vyomboβ¦!!
πΉπΉ si nyieWachawi watoke wapi ach kumtisha bn
Siyo kweli wachawi awan nguvu katika huu uziπΉπΉ si nyie
Ndio ila Lamomy atatupa muongozoKumbe challenge inaendelea??
Ewaa sasa hiyo weekend uanzishe uzi wa mazungumzo tuπΉπΉ Muda wa kazi huu, naona hii challenge ifanyike weekend tukiwa vyomboβ¦!!
Siwezi...bestie njoo inbox usikie....π π π πSauti zingine zinafanana acha woga bestie
Aaah wapi....aaaah wapiiiiiDada mkubwa yan nikiongea konda huyu hapa πππ
Mbona nyie hamtumi?.wadada wameshaweka muongozo..au na nyie mabroo kama sisi mnaweka ngumuππNa wewe tuma yako tukusikie
Ahahah bestieeee...sauti ya kibonge hiyooo....umeharibu hapo kwa utopolo tuu...π π π πView attachment 3400034 bestie ππ I'm waiting nisamehe nina kigugumizi hapo yenyewe nimejikaza sana π
Alafu mi mwembamba kinoma ni sauti tu Tuma na wewe nikusikie nione kama urembo na urefu wako vinaendana na sauti ππAhahah bestieeee...sauti ya kibonge hiyooo....umeharibu hapo kwa utopolo tuu...π π π π
Kumbe una kigugumizi...umejitahidi
Haviendani bana....usinilazimishe nitasusa na uzi wenyewe...nimekwambia njoo inbox...πππππππ€£π€£π€£π€£Alafu mi mwembamba kinoma ni sauti tu Tuma na wewe nikusikie nione kama urembo na urefu wako vinaendana na sauti ππ
#Utopolo for life
Haya nakuja usisuse sasa mtu mrefu βΊοΈβΊοΈHaviendani bana....usinilazimishe nitasusa na uzi wenyewe...nimekwambia njoo inbox...πππππππ€£π€£π€£π€£
Si unaona sauti yako nimekwambia ww mnene kumbe mwembamba...