Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,219
- 27,059
Njoo kihonda Kilimanjaro we dada huku ukae karibu na SGR Kuna apartment zinajengwa za kushato Sana tuWoow, atleast. Siyo kijiwe unakuta wanachuo wamejazana mpk kero..
Ilaaa wangaaa, nina plan hapa, nyumba yangu jamani nitaweka recreations hizo kiasi kwamba popote napopata stress niqaze kukimbilia nyumbani. Yaan nataka nijenge sehem ya kama hekari 3 hivi.. ikibidi hata 4 wallah. Yaani... naweka boonge la garden, swimming, bustan za mbogaaa yaani zinapangiliwa, naweka sehem ya basketball, karoom mfano wa club, tena top roof juu open space na chini ambapo najaza na screens kwaajili ya mpira yaan matches, nje kwenye garden naweka kama bar hivi. Yaan garden counter... achaa kabisaaa.... sasa nikifa nizikwe hapohapo usia wangu ninemalizaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui moshi sijui nn hapana. Nizikwe hukuhuku porini dethilam
😀😀😀...kdp...Njoo kihonda Kilimanjaro we dada huku ukae karibu na SGR Kuna apartment zinajengwa za kushato Sana tu
Tatizo la huku maji tu yako kwa machale [emoji1]
Kuna kabaridi Fulani hivi mitaa imepangwa Safi kabisa .
Tutamkumbuka misemo yake aiseMorogoro Jiwe Alisema Unapata Ya Dar es Salaam Na Dodoma. Kulala Katikati Kuna Uzuri Wake.
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
😆😅😄😃😂😁😀😁😂😃😄😄😅😅
Morogoro Jiwe Alisema Unapata Ya Dar es Salaam Na Dodoma. Kulala Katikati Kuna Uzuri Wake.
Katikati Ni Pazuri
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
[emoji38][emoji28][emoji1][emoji2][emoji23][emoji16][emoji3][emoji16][emoji23][emoji2][emoji1][emoji1][emoji28][emoji28]
Alikua active sana pande hizo aisee😀😀Jiwe mifano yake mingi ilikua ngono tu halafu anazuga ni utani kumbe amemaanisha kweli.
OMGHahahahah we unataka Nini Cha ziada kwenye bar [emoji1787]
We Ni mwanamke au mwanaume tuanze hapo kwanza .
Kila.jinsia Ina taste yake .
Exposure gani unayoizungumzia ya kwenda mamtoni au huko kwa Wana apolo[emoji1]
Ila Jamaa Alikuwa Anatembeza VifimboJiwe mifano yake mingi ilikua ngono tu halafu anazuga ni utani kumbe amemaanisha kweli.
Maeneo ya kula raha Mkoa wa Morogoro ni Mengi tu hata huko Malinyi wanapata raha za duniaHabarini ndugu zangu,
Natarajia kuwa morogoro ivi karibuni, naombeni kujua ni sehemu gani nzuri kwa mkoa wa morogoro ambayo naweza kukaa na shemeji yenu nika enjoy kwa siku kama mbili (hotel nk), au sehemu ambayo naweza pata malazi, chakula, vinywaji, na viburudisho vinginevyo.
Kuna mtu aliniambia Cate Hotel (siijui ipo morogoro sehemu gani, na ina nini) mwingine aliniambia Antique Legas (nayo sijui ipo wapi na sijui ina nini).
Karibu ndugu zangu kwa msaada wenu.
Kidatu PiaMaeneo ya kula raha Mkoa wa Morogoro ni Mengi tu hata huko Malinyi wanapata raha za dunia
Hio kdp ndio Nini[emoji849][emoji3][emoji3][emoji3]...kdp...
Duh ila moro kuna totoz balaa! Hapo lachaaz vipi pananoga au michosho tu?Ilikufa...imekuja la chaaz..hana 8mths atafunga
Midland au?Msosi mjini kwa wachqgga pale semahotel yao haina lift tuu
Dah..kwakweli mnipe definition ya watoto wakali....lachaaz hata wazee hawawez kaa .panaboa .ameanza na mguu mbaya balaaDuh ila moro kuna totoz balaa! Hapo lachaaz vipi pananoga au michosho tu?
Uko vizuri,lkn naona una kaushamba Fulani hivi.unaijua au unaisikia moro?unailinganisha na kwenu machakos wanakovamia alshabab kila siku???moro is best,tuache.nasheera umeingia wewe??Mie sikuiti mchumba naona nachelewa[emoji39][emoji39]! Nakuita mume kabisa[emoji3][emoji3]
Hapana..sijawahi ingia nashera..pazuri eh? Moro is the best ukilinganisha na wapi?Uko vizuri,lkn naona una kaushamba Fulani hivi.unaijua au unaisikia moro?unailinganisha na kwenu machakos wanakovamia alshabab kila siku???moro is best,tuache.nasheera umeingia wewe??
Basi ww kilimanjaro huijui...umeandika tu uonekane umeandika..lolHio kdp ndio Nini[emoji849]
Kama Ni tusi likurudie
🤣🤣🤣🤣Kidatu Pia