Sehemu gani nzuri ya ku-enjoy kwa mkoa wa Morogoro?

asante kwa mchanganuo mzuri mkuu, vipi kuhusu biashara za mitaji isiyozid mil 1.5
 
Uko vizuri,lkn naona una kaushamba Fulani hivi.unaijua au unaisikia moro?unailinganisha na kwenu machakos wanakovamia alshabab kila siku???moro is best,tuache.nasheera umeingia wewe??
Unaiongelea machakos ya kenya?,huwezi ilinganisha na moro machakos pako poa mara 10 ya moro
 
Moro panaharibiwa na lile dongo jekundu hasa kiangazi na masika
Huo udongo haujawah kuwa kero...ila sijui..moro wenyeji wamehodhi bado maeneo ya mjini na hawatak kuachia...so hapa mjini hapana hata mvuto..unakuta ghorofa pemben nyumba ya tembe
 
Nitakuja kutalii moro [emoji91][emoji91]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…