nicholasmari
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 1,939
- 1,257
January awe PM? hauko serious, km si babake wa kufikia ht uwaziri hakustahiliHii Agenda ya kumtoa nyoka pangoni, J Makamba ukimya wako sasa unatosha ingia dimbani media zikuone.
Nafasi ya u PM haiji kwa bahati mbaya vita imeanza maana kwa ubunge anachukua kabla ya breakfast kuisha.
Mifumo ikiwa mibovu ya uendeshaji unategemea nini kitabadilika.Sijui ulikuwa unalenga kitu gani hapa; lakini kusema CCM hii ndiyo aliyoiacha Nyerere, sijui kama umelitafakari vyema hili!
Jina, SAWA. Muundo. SAWA. Lakini matendo ni mbalimbali kabisa; 'actually', ni kinyume moja kwa moja.
Point ya kuzaliwa sehem husika aina mashiko Tanzania ni mojaHao Wasambaa wanaomshabikia January Makamba ni wapumbavu sana, huyo mtu siyo mzawa wa jimbo hilo, hakukulia jimboni hapo, hajawahi kuishi jimboni hapo aliletwa tu na baba yake wa kufikia Mzee Yusufu Makamba wakati ule akiwa Katibu Mkuu wa CCM na akapitishwa kinyemela hadi kuwa mbunge. Amekuwa mbunge kwa miaka 15 na katika miaka yote hiyo hakuna maendeleo yoyote aliyohamasiha kwenye jimbo hilo.
January Makamba amekuwa analitumia jimbo hilo kujinufaisha binafsi kupanda chati za kisiasa hadi kuwa Waziri na ndoto yake ni kuwa Rais kwa kutumia jimbo hilo kama ngazi yake tu. Hana uchungu na jimbo hilo kwa vile siyo mzawa, huyo ni Mhaya wa Bukoba na hata kukulia amekulia Bukoba kwa bibi yake,Mzee Yusufu Makamba alimuoa mama yake January tayari akiwa na mtoto ambaye ndiye huyu January nashangaa hao wasambaa washamba wanavyomshobokea Mhaya na kumfanyia fujo Msambaa mwenzao ambaye ni mzawa wa jimboni hapo.
Soma vizuri mada usikurupuke, nenda Zanzibar uone kama hata form yenyewe ya kugombea hata ujumbe wa nyumba kumi uone kama utapewa.Point ya kuzaliwa sehem husika aina mashiko Tanzania ni moja
Hapa sio congo
Uhaya wake sio shida. Shida ni pale anapojaribu kuifanya Bumbuli kuwa private property ya familia ya Makamba. Ajipambanue kwa aliyoyafanya kama mbunge wa Bumbuli.Hao Wasambaa wanaomshabikia January Makamba ni wapumbavu sana, huyo mtu siyo mzawa wa jimbo hilo, hakukulia jimboni hapo, hajawahi kuishi jimboni hapo aliletwa tu na baba yake wa kufikia Mzee Yusufu Makamba wakati ule akiwa Katibu Mkuu wa CCM na akapitishwa kinyemela hadi kuwa mbunge. Amekuwa mbunge kwa miaka 15 na katika miaka yote hiyo hakuna maendeleo yoyote aliyohamasiha kwenye jimbo hilo.
January Makamba amekuwa analitumia jimbo hilo kujinufaisha binafsi kupanda chati za kisiasa hadi kuwa Waziri na ndoto yake ni kuwa Rais kwa kutumia jimbo hilo kama ngazi yake tu. Hana uchungu na jimbo hilo kwa vile siyo mzawa, huyo ni Mhaya wa Bukoba na hata kukulia amekulia Bukoba kwa bibi yake,Mzee Yusufu Makamba alimuoa mama yake January tayari akiwa na mtoto ambaye ndiye huyu January nashangaa hao wasambaa washamba wanavyomshobokea Mhaya na kumfanyia fujo Msambaa mwenzao ambaye ni mzawa wa jimboni hapo.
Aise! Tumejua mengi tusiyoyajua.Hao Wasambaa wanaomshabikia January Makamba ni wapumbavu sana, huyo mtu siyo mzawa wa jimbo hilo, hakukulia jimboni hapo, hajawahi kuishi jimboni hapo aliletwa tu na baba yake wa kufikia Mzee Yusufu Makamba wakati ule akiwa Katibu Mkuu wa CCM na akapitishwa kinyemela hadi kuwa mbunge. Amekuwa mbunge kwa miaka 15 na katika miaka yote hiyo hakuna maendeleo yoyote aliyohamasiha kwenye jimbo hilo.
January Makamba amekuwa analitumia jimbo hilo kujinufaisha binafsi kupanda chati za kisiasa hadi kuwa Waziri na ndoto yake ni kuwa Rais kwa kutumia jimbo hilo kama ngazi yake tu. Hana uchungu na jimbo hilo kwa vile siyo mzawa, huyo ni Mhaya wa Bukoba na hata kukulia amekulia Bukoba kwa bibi yake,Mzee Yusufu Makamba alimuoa mama yake January tayari akiwa na mtoto ambaye ndiye huyu January nashangaa hao wasambaa washamba wanavyomshobokea Mhaya na kumfanyia fujo Msambaa mwenzao ambaye ni mzawa wa jimboni hapo.
Kwanini alazimishe kuwa mgombea pekee, huyu mama anacheka na huyo mhuni? Magu alishamaliza kazi huyu Rais sijui anaangalia dini? Jina lake likatwe amekosa sifa ya kuwa mgombea, hapo ndio utamkumbuka Magu hatishwagwi na jina la mtuUhaya wake sio shida. Shida ni pale anapojaribu kuifanya Bumbuli kuwa private property ya familia ya Makamba. Ajipambanue kwa aliyoyafanya kama mbunge wa Bumbuli.
Bado hatuelewani.Mifumo ikiwa mibovu ya uendeshaji unategemea nini kitabadilika.
Kuna dadake January anaitwa Mwamvita Makamba. Je, ndiyo kusema hata Mwamvita siyo mtoto wa mzee Yusufu Makamba? Maana Mwamvita ni mkubwa kwa January.Yusufu Makamba alimuoa mama yake January tayari akiwa na mtoto ambaye ndiye huyu January
Dah!Kwanini alazimishe kuwa mgombea pekee, huyu mama anacheka na huyo mhuni? Magu alishamaliza kazi huyu Rais sijui anaangalia dini? Jina lake likatwe amekosa sifa ya kuwa mgombea, hapo ndio utamkumbuka Magu hatishwagwi na jina la mtu
bumbuli wame mgomeaHii Agenda ya kumtoa nyoka pangoni, J Makamba ukimya wako sasa unatosha ingia dimbani media zikuone.
Nafasi ya u PM haiji kwa bahati mbaya vita imeanza maana kwa ubunge anachukua kabla ya breakfast kuisha.
Watu wa aina yake ndiyo assets za Chura Kiziwi. Chura Kiziwi is equally bad, if not worse!Kwanini alazimishe kuwa mgombea pekee, huyu mama anacheka na huyo mhuni? Magu alishamaliza kazi huyu Rais sijui anaangalia dini? Jina lake likatwe amekosa sifa ya kuwa mgombea, hapo ndio utamkumbuka Magu hatishwagwi na jina la mtu
Umeitendea haki mada.Sena hili la Makamba kuwa mtoto wa kufikia ni uongo, huyo ni mtoto halali wa Mzee Makamba na halina hata ubishi kwa wanaomjua na ni kutafuta tu mada ya kujadili kumuita mtoto wa kufikia. Mengine ni kweli kabisa huyu hajakulia huko kaasababu hata baba yake alikuwa haishi huko kutokana na shughuli zake za Uongozi.
January alipelekwa Bumbuli kulipiza kisasi kwa Mzee Shelukindo baada ya Makamba Sr kushindwa kila alipojaribu kutia nia jimbo hilo ndio akamuapia Shelukindo kumletea mtoto ambaye kwa kipindi hicho alikuwa kijana wa Ikulu na mpika fitina mzuri wa JK.
Kwa kifupi jamaa haijui Bumbuli na wala hana mzuka nayo kabisa ni vile tu ndio tiketi yake rahisi ya kupata ubunge.
Nyerere nae anasingiziwaga mengi nyie, khaa. Yule mzee hadi anakufa aliliamini azimio la Arusha, leo lipo? Ni yule mzee ndio aliasisi muungano wa serikali 2 na nchi 1 inaitwa Tanzania, leo iko hivo kweli? Same mzee aliamini katika mashirika ya umma, leo ipo namna hiyo? Mzee yule alishauri ccm kuukubali mfumo wa vyama vingi, Augustin Mrema hadi alikua anaambiwa na wafuasi wake azime gari lake na wao wanamsukuma, aliyekua waziri wa mambo ya ndani those years bwana Nyanda from Mwanza, aliamuru Mrema kupigwa mabomu ya machozi wakati wa kampeni, Nyerere alikemea jambo hilo; leo hali ikoje? Lissu si anakusudiwa kunyongwa? Ni mambo ya Nyerere hayo kweli? Njoo kwenye rushwa, mzee Mchonga aliwahi hadi kukata majina ya wagombea fulani na baada ya kumpata mgombea aliyedhania yeye kwamba ni Mr. Clean, mzee alitamka kabisa kwamba, "tumezishinda fedha za Bangi" leo hali ikoje? Msimsingizie Nyerere, alikua na madhaifu yake lakini kwa hapa tulipo yeye hahusiki; kwa ujumla ccm ya Nyerere na ccm hi ni ccm mbili tofauti, yake ilikua ya jembe na nyundo, hi hapana.Hii nchi hata ungekuwa ww ndo Mbunge hakuna Ambacho ungebadilisha kwakuwa mifumo alioacha Nyerere haijawahi kubadilishwa Ila inaendelezwa.
'Mentality' ya aina hii tulikuwa tumeanza kuiacha nyuma. Lakini najuwa sasa hivi ndiyo inayo rutubishwa sana ndani ya nchi hii!Hatuwezi kuwakilishwa na wakuja ,kila mtu akae kwao sio kuleta wakimbizi.
Acha kuleta umuhimu kwenye maisha ya watu ,pambania na kwetu ..Hiko kingereza kisikufanye usahau porini kwenu ...Kila mtu agombee kwao ..'Mentality' ya aina hii tulikuwa tumeanza kuiacha nyuma. Lakini najuwa sasa hivi ndiyo inayo rutubishwa sana ndani ya nchi hii!
Na kama hiyo ya "kuja" haitoshi, hata tofauti za kiimani sasa zinaota mizizi. Hata huko jimboni kwenu tu mnaulizana vikabila vyenu na tofauti nyinginezo kati yenu!
Too bad for Tanzania.
Watu wanaoshindwa kutumia vichwa vyenye akili kufikiri, huwa njia rahisi ni kulaumu; hasa unapo mlaumu mtu ambaye unajuwa hayupo kujitetea mwenyewe.Nyerere nae anasingiziwaga mengi nyie, khaa. Yule mzee hadi anakufa aliliamini azimio la Arusha, leo lipo? Ni yule mzee ndio aliasisi muungano wa serikali 2 na nchi 1 inaitwa Tanzania, leo iko hivo kweli? Same mzee aliamini katika mashirika ya umma, leo ipo namna hiyo? Mzee yule alishauri ccm kuukubali mfumo wa vyama vingi, Augustin Mrema hadi alikua anaambiwa na wafuasi wake azime gari lake na wao wanamsukuma, aliyekua waziri wa mambo ya ndani those years bwana Nyanda from Mwanza, aliamuru Mrema kupigwa mabomu ya machozi wakati wa kampeni, Nyerere alikemea jambo hilo; leo hali ikoje? Lissu si anakusudiwa kunyongwa? Ni mambo ya Nyerere hayo kweli? Njoo kwenye rushwa, mzee Mchonga aliwahi hadi kukata majina ya wagombea fulani na baada ya kumpata mgombea aliyedhania yeye kwamba ni Mr. Clean, mzee alitamka kabisa kwamba, "tumezishinda fedha za Bangi" leo hali ikoje? Msimsingizie Nyerere, alikua na madhaifu yake lakini kwa hapa tulipo yeye hahusiki; kwa ujumla ccm ya Nyerere na ccm hi ni ccm mbili tofauti, yake ilikua ya jembe na nyundo, hi hapana.
Wewe ni kichaa, kwa hiyo sina sababu kwa sasa hivi kushughulika nawe. Ila, kuna siku utanikuta nimejiandaa na ukichaa zaidi ya huo unaokusumbua wewe.Acha kuleta umuhimu kwenye maisha ya watu ,pambania na kwetu ..Hiko kingereza kisikufanye usahau porini kwenu ...Kila mtu agombee kwao ..