lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,748
- 3,460
Ehhhh jamii forum shikamooooni kumbe siyo Mgosi wa kaa[emoji1787][emoji1787]Hao Wasambaa wanaomshabikia January Makamba ni wapumbavu sana, huyo mtu siyo mzawa wa jimbo hilo, hakukulia jimboni hapo, hajawahi kuishi jimboni hapo aliletwa tu na baba yake wa kufikia Mzee Yusufu Makamba wakati ule akiwa Katibu Mkuu wa CCM na akapitishwa kinyemela hadi kuwa mbunge. Amekuwa mbunge kwa miaka 15 na katika miaka yote hiyo hakuna maendeleo yoyote aliyohamasiha kwenye jimbo hilo.
January Makamba amekuwa analitumia jimbo hilo kujinufaisha binafsi kupanda chati za kisiasa hadi kuwa Waziri na ndoto yake ni kuwa Rais kwa kutumia jimbo hilo kama ngazi yake tu. Hana uchungu na jimbo hilo kwa vile siyo mzawa, huyo ni Mhaya wa Bukoba na hata kukulia amekulia Bukoba kwa bibi yake,Mzee Yusufu Makamba alimuoa mama yake January tayari akiwa na mtoto ambaye ndiye huyu January nashangaa hao wasambaa washamba wanavyomshobokea Mhaya na kumfanyia fujo Msambaa mwenzao ambaye ni mzawa wa jimboni hapo.
Bukoba????????Makamba akagombee huko alipoenda kuoa mke ,hana uchungu na Bumbuli ..Kwanza ni mzaliwa na Bukoba huyo.
Tanzania inahitaji mfumo wetu wa uongozi ufumuliwe na kusukwa upya kwa kuzingatia madaraka yawe kwa wananchi. Nakubali sana mpango wa CHADEMA wa kuwa na majimbo ili kila jimbo liwe na viongozi wanaokaa sehemu husika. Bunge libaki la kitaifa na wabunge wake wawajibike kwa vitu vya kitaifa.Majimbo yenye wabunge wazawa yanalizidi nini jimbo la Bumbuli?
Kaongelee kwenu ,hapa ni mwakilishi anayejua matatizo ya wananchi sio ujinga wako wa kukariri ..Tambua vigezo vya mbunge ..Wewe ni kichaa, kwa hiyo sina sababu kwa sasa hivi kushughulika nawe. Ila, kuna siku utanikuta nimejiandaa na ukichaa zaidi ya huo unaokusumbua wewe.
Ngoja nikuweke kiporo. Hii ni ahadi.
Nisha weka ahadi kwako, sitaivunja.Kaongelee kwenu ,hapa ni mwakilishi anayejua matatizo ya wananchi sio ujinga wako wa kukariri ..Tambua vigezo vya mbunge ..
Mbona hamleti raia kutoka nje ya nchi kuja kuwa Raisi wa Tz? Usiwe mjinga pambana na kwenu ,hatupendi ujinga .
Nitajie jimbo la mwana CCM yoyote ambalo halina changamoto yoyote tumeona Juzi Mpina anaomba barabaraKwa nini wafuasi wake wanawafanyia vurugu wengine wakati wa kuchukua fomu?
Kaifanyia nini Bumbuli cha maana?
Kuna dadake January anaitwa Mwamvita Makamba. Je, ndiyo kusema hata Mwamvita siyo mtoto wa mzee Yusufu Makamba? Maana Mwamvita ni mkubwa kwa January.
Ndiyo maana hagombei mwaka huu tunamrudisha Oman ๐ด๐ฒSamia mwenye Hana asili ya Tanganyika, kwanini asiende kugombea kwao zanzibar
Kama ni hivyo, huyo amelifanya jimbo la Bumbuli kama shamba lake la mavuno. Mpigeni chini huyo kama mnaweza.Anafikia Hotelini mhuni huyu
Ahaa! Kumbe! Asante kwa kunijuza mkuuMdogo wa January bwana
EbwanaeeeeeeHao Wasambaa wanaomshabikia January Makamba ni wapumbavu sana, huyo mtu siyo mzawa wa jimbo hilo, hakukulia jimboni hapo, hajawahi kuishi jimboni hapo aliletwa tu na baba yake wa kufikia Mzee Yusufu Makamba wakati ule akiwa Katibu Mkuu wa CCM na akapitishwa kinyemela hadi kuwa mbunge. Amekuwa mbunge kwa miaka 15 na katika miaka yote hiyo hakuna maendeleo yoyote aliyohamasiha kwenye jimbo hilo.
January Makamba amekuwa analitumia jimbo hilo kujinufaisha binafsi kupanda chati za kisiasa hadi kuwa Waziri na ndoto yake ni kuwa Rais kwa kutumia jimbo hilo kama ngazi yake tu. Hana uchungu na jimbo hilo kwa vile siyo mzawa, huyo ni Mhaya wa Bukoba na hata kukulia amekulia Bukoba kwa bibi yake,Mzee Yusufu Makamba alimuoa mama yake January tayari akiwa na mtoto ambaye ndiye huyu January nashangaa hao wasambaa washamba wanavyomshobokea Mhaya na kumfanyia fujo Msambaa mwenzao ambaye ni mzawa wa jimboni hapo.
Ongeza makonda na gamboKaskazini hawana mgombea 2030 wanategemea Mashemeji January, Mwigulu na Kikeke ๐๐
WASAMBAA wa BUMBULI washamba sana.Hao Wasambaa wanaomshabikia January Makamba ni wapumbavu sana, huyo mtu siyo mzawa wa jimbo hilo, hakukulia jimboni hapo, hajawahi kuishi jimboni hapo aliletwa tu na baba yake wa kufikia Mzee Yusufu Makamba wakati ule akiwa Katibu Mkuu wa CCM na akapitishwa kinyemela hadi kuwa mbunge. Amekuwa mbunge kwa miaka 15 na katika miaka yote hiyo hakuna maendeleo yoyote aliyohamasiha kwenye jimbo hilo.
January Makamba amekuwa analitumia jimbo hilo kujinufaisha binafsi kupanda chati za kisiasa hadi kuwa Waziri na ndoto yake ni kuwa Rais kwa kutumia jimbo hilo kama ngazi yake tu. Hana uchungu na jimbo hilo kwa vile siyo mzawa, huyo ni Mhaya wa Bukoba na hata kukulia amekulia Bukoba kwa bibi yake,Mzee Yusufu Makamba alimuoa mama yake January tayari akiwa na mtoto ambaye ndiye huyu January nashangaa hao wasambaa washamba wanavyomshobokea Mhaya na kumfanyia fujo Msambaa mwenzao ambaye ni mzawa wa jimboni hapo.
Weka picha sasa usapoti hojaIngawa hi ya kusema eti January sio mtoto wa mzee Yusuf Makamba I'm sure ni uongo, hata kama hatumpendi mzee Makamba na uzao but this is too big to believe, mtazame sura vizuri mzee Yufuf Rajabu Makamba na January, mbona wana fanana? Tofauti tu, January ni mrefu while baba mfupi; that much is not strange, kafata ujombani, hilo lina shida gani?
Kuna utofauti mdogo sana wa maendeleo ya majimbo hasa yale ya pembezoni .Fanya utafiti
Mbaga Jr atakushtaki kwa kutumia msemo wake bila kibali kutoka kwake ๐๐Inasikitisha sana..
Kama kaolea Machame na mijipesa aliyonayo ya wizi na huu umalaya anaoendekeza wa kuzaa ovyo ovyo Kama fisi na masingo maza. It is just a matter of time.Bukoba hadi kuolea Machame ni shemeji yako huyo ๐ผ