GE2025 Sekeseke lililotokea wakati wa kuchukua Fomu ya Ubunge katika Jimbo la Bumbuli

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ccm chama cha mihuni
 
Kwenye sifa za kikatiba na kisheria za kuwa mbunge, hizo ulizozitaja zimo?
 
Kwanini alazimishe kuwa mgombea pekee, huyu mama anacheka na huyo mhuni? Magu alishamaliza kazi huyu Rais sijui anaangalia dini? Jina lake likatwe amekosa sifa ya kuwa mgombea, hapo ndio utamkumbuka Magu hatishwagwi na jina la mtu
Unazingua wewe,
Kuna mtu alitengeneza miungu watu kama magu,
watu waliokua wanaweza kuteka na kuua mbele ya kamera bila kufanywa chchte.
kina makonda,gambo,ally hapi,gwambina mbona mnasahau mapema sana.
 
Kwenye sifa za kikatiba na kisheria za kuwa mbunge, hizo ulizozitaja zimo?
Sifa ya kujua kusoma na kuandika hata Ambaruty anayo jee unaweza kumchagua kuwa mbunge wako? Usilete ligi isiyokuwa na maana January ameshindwa kuwatumikia wana Bumbuli kwa vile si mmoja wao wala hata hajui shida na mahitaji yao kwa vile haishi huko na hajawahi kuishi huko.
 
Kwani hujui hata mfumo wa kugombea ,hasa kwa makamu ..Wakati, Ebu fuatilia kwanza uone sio unapiga porojo
acheni ubaguzi mhaya akigombea Tanga kuna shida gani? wasambaa na wabondei wasigombee nje ya Tanga?
 
Duh hii paraghraph ya pili hatari sana, acha tupite zetu kwanza tuhangaikie kura yetu, hizo mambo za Bumbuli mwisho mwishoni zitavua watu nguo. Hao wapambe wa January walionesha ushamba wa hali ya juu sana, aibu kwa January anayeratibu uhuuni wa namna hiyo. Walipata kumhusisha na umafia naona kama ni kweli kwa mtindo huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…