Serikali haioni hivi vichwa vilivyopo JamiiForums?

Daaah apo kyela ushachukua fomu ya hata ya mjumbe๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hongera! Inawezekana wewe ni Waziri au Mbunge. Jimbo lako liko pande zipi za Tanzania? Unaweza kututajia kiujumla ili tusikufahahamu kwa jina lako halisi.
 
Inafahamika kuwa Mayalla ni CCM, na yeye mwenyewe ameliweka hilo wazi. Lakini hilo halimfanyi asitumie taaluma yake ya uandishi kukosoa Chama cho chote cha Siasa, kikiwemo cha kwake, akiona inafaa.
 
nipo huko siku nyingi sana,
na kwa miswada makini sana hii ya uchaguzi na tume ya uchaguzi tunajadili hapa mjengoni,
najiskia kuomba tena ridhaa kwa wananchi kwa awamu nyingine tena 2025-2030...
Hongera mkuu! Vipi ule muswada mpya uliopigiwa kelele na wananchi, na wewe utaupitisha?
 
Naunga mkono hoja
 
Hongera mkuu! Vipi ule muswada mpya uliopigiwa kelele na wananchi, na wewe utaupitisha?
wananchi wa wap walolalamika?

wale wako nyuma yangu wanahitaji yale muhimu zaidi ya maji, afya na elimu kwa uchache, na tunasonga vizuri sana. Na hiyo awamu ijayo tukijaaliwa tunaongeza vipaumbele vingine muhimu zaidi...

aste haste mpaka kieleweke....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ