Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Samia ni mpumbavu, mpumbavu mwingine ni mkuu wa majeshi.
Ndio kishakuwa Rais wako mkuu! Tulia tuChama hakiwezi kufutwa kwa matakwa ya mtu mmoja mpumbavu amepanga kuharibu nchi yetu na sio kuleta maendeleo ameuwa na kupora haki za raia wengi.
Ndio maana amekimbia kijificha huko mapangoni. Hicho chama anachotaka kukifuta hatuta mskiliza muache ajitekenye alafu acheke mwenyewe hana mamlaka hayo alipatikana kwa wizi wa kura na uchaguzi usio halali.
Ndo maana umeamua kugeuka chawa ili ujipatie angalau mkate wa kila siku?Hicho chama kilikufa tangu 2015 sasa hivi kina watu wajinga ambao wanaeneza propaganda I was there