Mkuu,Umemuuliza swali gumu sana huyu mpiga porojo.
Vipi kuhusu Aids watu wanavyo ambiwa kutumia kinga "Condoms" yenyewe sio kutishana?Hii ni hoja dhaifu, kuchanjwa sio solution ya corona, kikubwa ni kuachana na kutiana hofu, serikali saiv mnatutisha mno, huu ugonjwa ni kama magonjwa mengine sema viongozi mnaukuza mno!!! Mm nilishasema sivai mabarakoa yenu hayo
34M vaccinated and 36M not vaccinated
Kuwa vaccinated sio kigezo, mbona wameambiwa wote hukuna mambo ya barakoa
Mambo ya barakoa ya kipuuzi tu
Jana ilikuwa final za Euro 2020, 95%ya mashabiki wameingia uwanjani bila barakoa, chini za wenzetu wanaona haya mambo ya barakoa ni UPUUZI, England imetanganza from 19th July hamna haja ya Barakoa
View attachment 1850369View attachment 1850371
Sasa serikali ya Mama Samia kila siku mabarakoa na kuwatia watu hofu
Nawashukuru watanzania wengi wamepuuzia kuvaa haya mabarakoa
Sasa nashangaa mkuu wa mkoa dodoma kulazimisha watu kuvaa haya mabarakao
View attachment 1850376
Tangu ianze kutangazwa hapa nilpo sijawah shuhudia mtu anaumwa zaid katika media.Subiri ipite na dingi ako ndiyo utajua kama ni uongo ama kweli, tuache utani watu wamelazwa kibao sasahivi
Subiri ipite na ndugu yako ndiyo akili zitakaa sawaTangu ianze kutangazwa hapa nilpo sijawah shuhudia mtu anaumwa zaid katika media.
Haitakaa kamweee tena kamweeeSubiri ipite na ndugu yako ndiyo akili zitakaa sawa
Sawa BashiteHaitakaa kamweee tena kamweee
Vipi wewe mama yako amekufa na corona. Hebu tupe uzoefu wako mkuu.Subiri ipite na dingi ako ndiyo utajua kama ni uongo ama kweli, tuache utani watu wamelazwa kibao sasahivi
Maadam anatokea kwenu huko sishangai😃😃😀😄Sawa Bashite
Kwani chanjo inazuia covid 19 wewe bwege? Chanjo ya Corona ipo miaka yote kama hujui wazee wa Ulaya na Marekani huwa wanachanjwa kila mwaka kuzuia corona kwa maana nyingine ni mafua. Kapigwe chanjo na wewe mkuu.Mkuu,akikujibu nitag,
Mleta mada anafikiri UK wamefikia maamuzi hayo kwa kukurupuka,sijui akili za wapi hizi aisee.
Kwani chanjo inazuia Covid 19? Tumeambiwa haizuii Covid 19 bali mafua 😀Huko UK raia wengi wamepatiwa chanjo.
Bwege ni wewe boya usiye na akili,naona unakata viuno tu kwenye hii thd,hii thd inahusu maisha ya watu,hivyo viuno kakate huko kwenye singeli mpaka ukate shanga za kiunoni,umesikia wewe boya?Kwani chanjo inazuia covid 19 wewe bwege? Chanjo ya Corona ipo miaka yote kama hujui wazee wa Ulaya na Marekani huwa wanachanjwa kila mwaka kuzuia corona kwa maana nyingine ni mafua. Kapigwe chanjo na wewe mkuu.
Nimesikia mkuu bwege!Bwege ni wewe boya usiye na akili,naona unakata viuno tu kwenye hii thd,hii thd inahusu maisha ya watu,hivyo viuno kakate huko kwenye singeli mpaka ukate shanga za kiunoni,umesikia wewe boya?
Magufuli alikuwa anawaweza Hawa manyang'au kila hila walizokuwa wanazipanga alizijua mapema nadhan wazungu hawatamsahau aiseeJana ilikuwa final za Euro 2020, 95%ya mashabiki wameingia uwanjani bila barakoa, chini za wenzetu wanaona haya mambo ya barakoa ni UPUUZI, England imetanganza from 19th July hamna haja ya Barakoa
View attachment 1850369View attachment 1850371
Sasa serikali ya Mama Samia kila siku mabarakoa na kuwatia watu hofu
Nawashukuru watanzania wengi wamepuuzia kuvaa haya mabarakoa
Sasa nashangaa mkuu wa mkoa dodoma kulazimisha watu kuvaa haya mabarakao
View attachment 1850376