Jana ilikuwa final za Euro 2020, 95%ya mashabiki wameingia uwanjani bila barakoa, chini za wenzetu wanaona haya mambo ya barakoa ni UPUUZI, England imetanganza from 19th July hamna haja ya Barakoa
View attachment 1850369View attachment 1850371
Sasa serikali ya Mama Samia kila siku mabarakoa na kuwatia watu hofu
Nawashukuru watanzania wengi wamepuuzia kuvaa haya mabarakoa
Sasa nashangaa mkuu wa mkoa dodoma kulazimisha watu kuvaa haya mabarakao
View attachment 1850376
Wewe ni kituko humu JF,Nimesikia mkuu bwege!
KWA TULIOPO KILIMANJARO HATUWEZI KUIPUUZA CORONA MAANA TUNAONA INAVYOWAMALIZA NDUGU ZETU, MTU UNAHUDHURIA MISIBA MPAKA UNACHOKA.Jana ilikuwa final za Euro 2020, 95%ya mashabiki wameingia uwanjani bila barakoa, chini za wenzetu wanaona haya mambo ya barakoa ni UPUUZI, England imetanganza from 19th July hamna haja ya Barakoa
View attachment 1850369View attachment 1850371
Sasa serikali ya Mama Samia kila siku mabarakoa na kuwatia watu hofu
Nawashukuru watanzania wengi wamepuuzia kuvaa haya mabarakoa
Sasa nashangaa mkuu wa mkoa dodoma kulazimisha watu kuvaa haya mabarakao
View attachment 1850376
Mkuu wa mkoa analinda kibarua kwa kumfurahisha mteuaji.Jana ilikuwa final za Euro 2020, 95%ya mashabiki wameingia uwanjani bila barakoa, chini za wenzetu wanaona haya mambo ya barakoa ni UPUUZI, England imetanganza from 19th July hamna haja ya Barakoa
View attachment 1850369View attachment 1850371
Sasa serikali ya Mama Samia kila siku mabarakoa na kuwatia watu hofu
Nawashukuru watanzania wengi wamepuuzia kuvaa haya mabarakoa
Sasa nashangaa mkuu wa mkoa dodoma kulazimisha watu kuvaa haya mabarakao
View attachment 1850376
Sawa mkuu wewe unaakili nyingi sana na timamu. Unalo jingine mkuu?Wewe ni kituko humu JF,
Comment zako ni za hovyo na hazina maana,unazunguka kwenye kila thd kuonyesha jinsi ulivyo empty set,kifupi umegeuka kua kituko hapa JF,
Huna akili timamu.
Kwani UK ndio waMungu?Unafananisha UK na hapa..................
Hao wanaokufa walikuwa hawajajifunga barakoa?KWA TULIOPO KILIMANJARO HATUWEZI KUIPUUZA CORONA MAANA TUNAONA INAVYOWAMALIZA NDUGU ZETU, MTU UNAHUDHURIA MISIBA MPAKA UNACHOKA.
NI VYEMA UKAMSHUKURU MUNGU NA UKAENDELEA KUMWOMBA SANA MUNGU CORONA ISIKUPATE WALA ISIMPATE NDUGU YAKO.
HUKU MIKOA YA KASKAZINI MAMBO NI MAGUMU KWAKWELI JAPO NASIKIA ETI KUNA MIKOA HAINA HUU UGONJWA KAMA NI KWELI WAMSHUKURU SANA MUNGU.
akikujibu hii unitag.Uingereza asilimia ya waliopata chanjo ni ngapi, Tanzania ni ngapi?
Kwahiyo nchi kama UK ambao hawajachajwa na kuvaa barakoa ndio wanaokufa?My friend haijafikia cycle zako labda.
Nimetoka kuzika jirani yangu last week Kilimanjaro.
Kuna bwana mdogo mwingine anasoma Chuo Dodoma nae anaumwa.
Be careful!
Kinachotudanganya ni kwamba wanaougua na kupona kimyakimya ni wengi.
Ila kumbuka wewe na watu wako hamjui kama mtapata bahati ya kuugua na kupona.So be careful!
Nimejibu tayari REJEA post ya nyumaakikujibu hii unitag.
Wao wamechanjwa wengi, sisi hatujaanza.............Kwani UK ndio waMungu?
Je hao wanakufa kwa Covid? Mbona serikali haitangazi?View attachment 1850454
Acheni ubishi wa kifala raia wanakufa uko
Ni kwa viongozi tu Mkuu,sisi ma hastler haituhusu. Juzi alipokua ziarani Moro huko njiani alikua anagawa barakoa kwa wananchi ndipo awahutubie?Jana ilikuwa final za Euro 2020, 95%ya mashabiki wameingia uwanjani bila barakoa, chini za wenzetu wanaona haya mambo ya barakoa ni UPUUZI, England imetanganza from 19th July hamna haja ya Barakoa
View attachment 1850369View attachment 1850371
Sasa serikali ya Mama Samia kila siku mabarakoa na kuwatia watu hofu
Nawashukuru watanzania wengi wamepuuzia kuvaa haya mabarakoa
Sasa nashangaa mkuu wa mkoa dodoma kulazimisha watu kuvaa haya mabarakao
View attachment 1850376
Jana ilikuwa final za Euro 2020, 95%ya mashabiki wameingia uwanjani bila barakoa, chini za wenzetu wanaona haya mambo ya barakoa ni UPUUZI, England imetanganza from 19th July hamna haja ya Barakoa
View attachment 1850369View attachment 1850371
Sasa serikali ya Mama Samia kila siku mabarakoa na kuwatia watu hofu
Nawashukuru watanzania wengi wamepuuzia kuvaa haya mabarakoa
Sasa nashangaa mkuu wa mkoa dodoma kulazimisha watu kuvaa haya mabarakao
View attachment 1850376
Endelea kuita watu mabwege,watu kama wewe mnaojitoa ufahamu dawa yenu hua ninayo na usipopona nakubadilishia dozi,utakaa sawa tu ili siku nyingine usipende kuvamia watu hovyo na lugha zako zisizokua na staha.Sawa mkuu wewe unaakili nyingi sana na timamu. Unalo jingine mkuu?
Ila wengi ni wale waliokula chanjo ili waende nje ya nchi. Mtu wa Kazilambwa anaipatia wapi?Subiri ipite na dingi ako ndiyo utajua kama ni uongo ama kweli, tuache utani watu wamelazwa kibao sasahivi