China ina Population ya 1.4B katika hii population waliopata chanjo ni 220MMuwe mnafanya hata karesearch kadogo badala ya kuja hapa kuonyesha ujuha hadharani.
Covid-19 news: Moderna’s omicron booster has promising immune response
A regular round-up of the latest coronavirus news, plus insight, features and interviews from New Scientist about the covid-19 pandemicwww.newscientist.com
Mimi niko Marekani, kwa sasa wanaozidiwa, kupelekwa hospitali na kufa wengi ni wasiochanjwa.Kwahiyo nchi kama UK ambao hawajachajwa na kuvaa barakoa ndio wanaokufa?
100% agreedNi kwa viongozi tu Mkuu,sisi ma hastler haituhusu. Juzi alipokua ziarani Moro huko njiani alikua anagawa barakoa kwa wananchi ndipo awahutubie?
Hii ni biashara na njaa za viongozi wetu tu.
Aende Mbagala,Kariakoo,Gongo la Mboto na kwingine watu wanakopiga nyomi kwenye magari,huko wanachojua ni kupambania tumbo,mengine mbwembwe tu.
Nashauri,wasiwatishe wananchi,kwakua mikopo ni kodi zet,wakope tu,mwakani waongeze 100 kwenye kila lita moja ya maji,tutalipa.
NWO wahandisi wanaelekea kufanikiwaNew World Order
Mimi niko Marekani, kwa sasa wanaozidiwa, kupelekwa hospitali na kufa wengi ni wasiochanjwa.
Tuliochanjwa tunapeta.
Soma hapa Associated Press wameandika karibu watu wote wanaokufa kwa Covid-19 USA ni wale ambao hawajachanjwa.
Nearly all COVID deaths in US are now among unvaccinated
Nearly all COVID-19 deaths in the United States now are in people who weren’t vaccinated, a staggering demonstration of how effective the vaccines have been and an indication that daily deaths — now down to under 300 — could be practically zero if everyone eligible got the shots.apnews.com
"Nearly all COVID-19 deaths in the U.S. now are in people who weren’t vaccinated, a staggering demonstration of how effective the shots have been and an indication that deaths per day — now down to under 300 — could be practically zero if everyone eligible got the vaccine."
Propaganda ya covid imeenzia USA na chinaMimi niko Marekani, kwa sasa wanaozidiwa, kupelekwa hospitali na kufa wengi ni wasiochanjwa.
Tuliochanjwa tunapeta.
Soma hapa Associated Press wameandika karibu watu wote wanaokufa kwa Covid-19 USA ni wale ambao hawajachanjwa.
Nearly all COVID deaths in US are now among unvaccinated
Nearly all COVID-19 deaths in the United States now are in people who weren’t vaccinated, a staggering demonstration of how effective the vaccines have been and an indication that daily deaths — now down to under 300 — could be practically zero if everyone eligible got the shots.apnews.com
Nearly all COVID deaths in US are now among unvaccinated
By CARLA K. JOHNSON and MIKE STOBBEJune 29, 2021
"Nearly all COVID-19 deaths in the U.S. now are in people who weren’t vaccinated, a staggering demonstration of how effective the shots have been and an indication that deaths per day — now down to under 300 — could be practically zero if everyone eligible got the vaccine."
China ina Population ya 1.4B katika hii population waliopata chanjo ni 220M
Percentage ndogo wamekuwa vaccinated mbona hakuna waliokufa?
Tusitishane hapa kuwa bila kupata vaccination unakufa huo ni upuuzi
Sasa hiyo 5% ndiyo umeona significant hivyo?Propaganda ya covid imeenzia USA na china
Tena propaganda ikaamia kwa watu weusi kuwa ndio wanakufa sababu ya obesity yote haya ni biashara yao iendelee
Sisi tupo Tanzania
India imechanja population ya 5% lakini wote walikuwa wanakufa hata mwenye chanjo
Tusitishane Tanzania itasimama daima
Weee....! CHADEMA wao wataweza kupeleka hizo pesa wakipewa? Kuhusu ufisadi ni karibu 75% ya viongozi wa vyama hivi ni wachumia tumboMkuu samahani, MaCCM hayatapeleka hiyo pesa ikasadie watu, sasa maanake nini , acha tu tukose wote. Sisi wanyonge kufa na wao kosa pesa.
”sisi kosa na wao kosa” ubaya ubaya tu.!
Hoja yako ina maana ila Kabla hujahitimisha jiridhishe kwa kujibu maswali, wasio na chanjo wanaruhusiwa kuingia uwanjani? Kabla ya kuingia uwanjani kuna kipimo cha covid wanafanyiwa? Kama wanafanyiwa cheti ni kigezo cha kupata tiketi?34M vaccinated and 36M not vaccinated
Kuwa vaccinated sio kigezo, mbona wameambiwa wote hukuna mambo ya barakoa
Mambo ya barakoa ya kipuuzi tu
Ni kweli china hakuna vifo vya covid?China ina Population ya 1.4B katika hii population waliopata chanjo ni 220M
Percentage ndogo wamekuwa vaccinated mbona hakuna waliokufa?
Tusitishane hapa kuwa bila kupata vaccination unakufa huo ni upuuzi
Jana ilikuwa final za Euro 2020, 95%ya mashabiki wameingia uwanjani bila barakoa, chini za wenzetu wanaona haya mambo ya barakoa ni UPUUZI, England imetanganza from 19th July hamna haja ya Barakoa
View attachment 1850369View attachment 1850371
Sasa serikali ya Mama Samia kila siku mabarakoa na kuwatia watu hofu
Nawashukuru watanzania wengi wamepuuzia kuvaa haya mabarakoa
Sasa nashangaa mkuu wa mkoa dodoma kulazimisha watu kuvaa haya mabarakao
View attachment 1850376
Tanzania ujinga ni tatizo kubwa sana bado.Ndugu yangu, hao UK wameshachanja watu wao kwa kiwango cha kutosha ndio maana wameanza kupunguza lock downs kwa kiwango kikubwa, Europe pia, sio kuwa wanaacha kwa sababu ya maombi ya siku tatu.
Tanzania ujinga ni tatizo kubwa sana bado.
Sasa kwa nini kitu kidogo kama hiki watu wanakuwa hawaelewi?
Ndio maaana tunataka katiba mpya , itakayomwajibisha yeyote yule atakae chezea pesa za Umma awe Rais awe nani, akichezea kodi tu mahakamni.Weee....! CHADEMA wao wataweza kupeleka hizo pesa wakipewa? Kuhusu ufisadi ni karibu 75% ya viongozi wa vyama hivi ni wachumia tumbo
Mkuu,Hilo halifichiki, na ndio maana wanasiasa wajinga wajinga wanafanikiwa sana kudanganya majitu majinga mengi.... unachotakiwa kufanya ni kujidai ni mtu wa mungu kidogo, toa misaada kwenye TV basi mazoba yote yanaamini wewe ni masiha. Tuna wajinga wengi sana ni shida, nadhani ni mpango maalum wa wawatawala waendelee kubaki madarakani.
Mkuu unapoteza muda kulijibu hilo tahira,!!Uingereza asilimia ya waliopata chanjo ni ngapi, Tanzania ni ngapi?
Ni muhimu ku expose ujinga. La sivyo kuna watu watauamini.Mkuu unapoteza muda kulijibu hilo tahira,!!
Mkuu,
Let me play the so called "devil's advocate".
Unafikiri kwamba huu si ujinga tu, labda ni ujinga plus plus au ujinga squared?
Kwamba kuna watu wanajua huko wenzetu wanapeta kwa sababu ya chanjo, na sisi hatuna, lakini tulete ubishi tu kwamba chanjo hazisaidii, ni biashara etc.
Huu ni ujinga wa kawaida tu watu wamejazwa na Magufuli na wenzake, au ni "cognitive dissonance" watu wanajua ukweli ila wanajiondoa akili tu kwa ku support team yao bila kujali ukweli?