Serikali inawabagua wanafunzi wa shule binafsi; ushahidi huu hapa

Unaongea maneno meengii..ya kimasikinimasikini..hoja dhaifuu..

Kwahiyo wewe unafikiri serikali haina pesa!? Za kufanya miundo mbinu ya shule za kk ayumba ifanane na binafsi huko uliko!?

Hivi nyinyi watanzania wajinga mnaolipa kodi mbona wajinga!?
Yani unaionea Serikali huruma.!??

Kutoa Elimu bora ni jukumu la Serikali maana tunalipa kodi. Kodi zenu zinapigwa kipumbavu..hawa wanaopiga kodi zenu watoto wao wanasoma LONDON..
 
Kuna mdau aliandika humu, hakuna kitu hata kimoja ambacho serikali inafanya kwa ufasaha na usahihi. Ni kuunga unga tu mradi pakuche
Nina ushahidi wa kutosha kutoka maafisa elimu wazito...kuwa matokeo ya kidato cha 6 ambao sasa ni wanachuo mwaka wa kwanza...YALIPIKWA KWA 90%
kumfurahisha killaza namba moja nchi hii
 
Nina ushahidi wa kutosha kutoka maafisa elimu wazito...kuwa matokeo ya kidato cha 6 ambao sasa ni wanachuo mwaka wa kwanza...YALIPIKWA KWA 90%
kumfurahisha killaza namba moja nchi hii
Ni ujinga mmoja ulifanyika....
Kule visiwani A ilianzia 35....
So kwa vile ni Jamuhuri ya Muungano kote A ikaanzia 35..

You wonder... 🤣🤣🤣😂🤣🤣
Eti Ifunda tech . Tosa.. Div 1 miambili..😂😂
 
H
Ni ujinga mmoja ulifanyika....
Kule visiwani A ilianzia 35....
So kwa vile ni Jamuhuri ya Muungano kote A ikaanzia 35..

You wonder... 🤣🤣🤣😂🤣🤣
Eti Ifunda tech . Tosa.. Div 1 miambili..😂😂
Huyu kilazza hadi atoke utawalani nchi itakuwa tikitik kila kona
 
...Utafiti huu haujakamilika
...Wengi wanaounga mkono ni wadandiaji.
Lugha iliyotumika lacks objectivity and professionalism.

tpaul hajaotoa ushahidi au hoja yoyote ile yenye mashiko inayounga mkono madai yake kwamba Serikali inawabagua wanafunzi wa shule binafsi.

Itoshe, kutumia matokeo ya mitihani mlolongo mrefu wa sijui, walioteuliwa/kuchaguliwa kuendelea na masomo ya form one kama msingi wa madai yakr bila ya kueleza jinsi na kwa nini Serikali ndio ishutumiwe kwa madai ya kukosekana haki, is irrsponsible.

Nashauri Serikali na wadau wengine wakalitizame hili la huyu Mleta mada. Kwa sababu inawezekana kabisa anataka kuchonganisha Serikali na wananchi.

Pia, JamiiForums wakalitizame hili kupitia Jamiicheck.
 
Muonee!!?
 
Ni vipimo gani vinavoonyesha mwanafunzi X kafanya vizuri katika masomo yake ukiondoa hili la kufanya theoryexam na kupata A's ambalo binafsi naliona ni kipimo cha elimu za stone age.
 

That is right. Kwa hiyo wakati huu ambao bado hawajaboresha shule za kata waendelee na huu mchezo wao wa ubaguzi kwenye selection?
Tpaul. Huo ubaguzi umeudadavua kivipi? Unajua wanatumia Criteria gani kufanya hizo selection Mkuu?

Nauliza huo ushahidi wako kwamba Serikali inawabagua au inazibagua wanafunzi na shule binafsi uko wapi?
 
Upo uwezekano mkubwa wa hao wa 2 waliochaguliwa kutoka shule binafsi wasiende huko walikochaguliwa.
 
Ina maana zile A zote za kumwaga kutoka shule binafsi ni A feki mkuu? Mbona unatetea ujinga?
Sio natetea ujinga mtu hawezi Kuja na mawazo yake ya hisia afu nikubali tu kizembe, Kuna shule ya private wanafunzi walikua 16 na bweni wameenda zaidi ya watano. Je hao ni wachache? Au Kuna private zinapata equal treatment na shule za serikali? Tukubaliane tu utafiti wake ulibase kwenye grade A bila kujali marks. Na kusema wenye A nyingi ndio watakua na A Kali ni assumption tu unaweza isiwe na ukweli vilevile. Unaweza dhani natetea ujinga kumbe wewe mwenyewe hujajua tu unachotetea,

Angalia selection Kwa hiyo hapo shule

 
Watoto tuliotoka Kayumba kwenda hizo shule maalum za serikali tunajua kwamba, vijana watokao private schools na straight A's zao si kwamba wana akili nyingi sana kuliko sisi wa mchanganyiko wa A's na B's.

Walitumkimbiza kidogo from 1 kwa vile ndo tulikuwa tukijifunza English. Form two mizani ikabalance.
Form 3 mpaka 4 wakafunikwa vibaya kabisa kitaaluma, wakabaki kuturungishia tu ma-Nido, Blue band na pocket money ambazo hatukuwa nazo.

Equity ichukue nafasi yake katika selection. Serikali iko sahihi kabisa.
 
SAsa umaskini wangu umeingiaje hapo mkuu?

Ila huwenda ukawa kweli mimi ni maskini but let's base kwenye hoja.

Mie kiupande wangu naipongeza serikali sababu kwa sasa muamko wa elimu na uboreshaji wa elimu umepanuka tofauti na zamani au unataka budget yote iwekwe kwenye elimu?
 
Mambo haya yanasikitisha, kuondoa aibu ya Shule za Serikali kufanya vibaya walikimbia kushindanisha Shule kwa sababu zisizoeleweka badala ya kuboresha miundombinu na kumotisha Walimu. Leo wameanza tena mbeleko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…