Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
- Thread starter
-
- #61
Hizo speaker za wainjilisti si lazma zitengenezwe na aliyekwenda shule?Nadhani sio kila Dini ina uwezo wa kuanzisha shule na kuzisimamia vizuri. Dini zingine ziendelee kusonga mbele na injili mengine hawayawezi.
Hata wainjilisti wenyewe wanaweza kurekebisha. Mchina amerahisisha mambo.Hizo speaker za wainjilisti si lazma zitengenezwe na aliyekwenda shule?
Nadhani hizo ni mbwembwe tu za dini lakini wapo kwa mujibu wa sheria na kufuata miongozo yote ya ufundishaji kama inavyotakiwa.Hawalazimishwi , wanaombwa kujichanganya.
Haya mambo ya wanafunzi kuanza kuvaa vikofia na kujifunika vitambaa na wengine kuvaa misalaba mashuleni ni tatizo tunalo ogopa kulisema.
Elimu ya kurekebisha anyo msomi usiwe kama sabato masalia.Hata wainjilisti wenyewe wanaweza kurekebisha. Mchina amerahisisha mambo.
Ungekuwa haumtambui hata hapa ungetofautisha hzo shule zipo za katoliki anglicana Ilan umezijumuisha choko wewe.uwe na ufahamu si wote ni wafuasi wa papa, wengine hawamjui papa ni nani na hawamtambui. Jikite kwenye mada
Sema na mitihani wanaibaSerikali haiwezi kuzichukua na zikabaki vile vile. Hizo shule zinapata ufaulu mkubwa kwa sababu wanachuja wanafunzi sana na kuchukua wale top notch tu. Yani ufaulu wao hautokani tu na kufundisha sana bali pia kuchukua tu wanafunzi wanaojiweza kitu ambacho ni tofauti na shile za serikali.
Serikali inapaswa kuboresha shule zake lakini haiwezi eti kuchikua wanafunzi A class tu wengine ikawatosa
Mie tena 😅Elimu ya kurekebisha anyo msomi usiwe kama sabato masalia.
huo uchoko unaoimba inaelekea we ndio choko conq. Sijui choko ni kitu gani mpuuzi wee! Jikite kwenye hojaUngekuwa haumtambui hata hapa ungetofautisha hzo shule zipo za katoliki anglicana Ilan umezijumuisha choko wewe.
Alafu hizi kelele zimekuja baada ya shule mbili tu kufaulisha sio shule zote zina hayo matokeo yalio kufanya uonyeshe chuki zako hadharani
Unajua maana ya seminary?Hivi kina kitu kinachoitwa Islamic Seminary? Au jamaa walidhani wakiweka neno Seminary brain za wanafunzi zitapanuka?
enzi za nyerere hali hii ilififishwwa na kukemewa vikali, ona sasa matokeo yanajionesha waziHawalazimishwi , wanaombwa kujichanganya.
Haya mambo ya wanafunzi kuanza kuvaa vikofia na kujifunika vitambaa na wengine kuvaa misalaba mashuleni ni tatizo tunalo ogopa kulisema.
Hoja gani wewe shogahuo uchoko unaoimba inaelekea we ndio choko conq. Sijui choko ni kitu gani mpuuzi wee! Jikite kwenye hoja
sio kila dini ina uwezo wa kuendesha shule, dini zingine ziendelee na abrakadabra zaoShule Za Dini Ziachwe Ziendelee
Serikali Ikichukua Bado Hao Watu Wa Dini Wakianzisha Chochote Kitanawiri Tu
Enzi za ujamaa na enzi hizi ni tofaut acha ubwabwa weweenzi za nyerere hali hii ilififishwwa na kukemewa vikali, ona sasa matokeo yanajionesha wazi
unaonekana huna akili, fikra zako ziko kwenye ushoga tu, jikite kwenye hojaHoja gani wewe shoga
Wewe papà Fransis hoja gani wewe choko tu Loth Hema lokoleunaonekana huna akili, fikra zako ziko kwenye ushoga tu, jikite kwenye hoja
Nina wapwa zangu hapa Songea, wangoni. Habari yako bila kuitaja jina dini hiyo inayofanya vizuri ni sawa umbea na chai bila sukari.
Hatujachelewa kufuta huu upuuzi tulioiga kwa wenzetu!enzi za nyerere hali hii ilififishwwa na kukemewa vikali, ona sasa matokeo yanajionesha wazi
ubwabwa unaujua wewe, dini yako ilikurupuka kuiga uanzishaji shule, ona matokeo yake! Bora muendelee na abrakadabra zenu tu, pelekeni watoto wenu wakasome kwenye shule za dini ile. Wale wanajua kuendesha shule zao. Shule za serikali nazo zipo zinafanya vizuri tuEnzi za ujamaa na enzi hizi ni tofaut acha ubwabwa wewe