Serikali ipige marufuku shule za dini au izitaifishe?

Mbona kuna shule nyingi za dini yangu zinafanya vzuri na matokeo ni mazuri sijaona ukizipongeza.

Abrakadabra ndo Nini??
 
Serikali itaifishe shule za kidini? Hizo shule zake tu imeshindwa kuziendesha mnataka ichukue mzigo ambao haiwezi?

Nchi iliahaamua kubinafsisha kila kitu, elimu, afya, uchumi nk. Huwezi kuleta hoja ya kutaifisha shule, basi wataifishw hospitali za makanisa, benki binafsi nk...hilo hawawezi, sio tu hawawezi kubinafsisga, hata kuziendesha hawawezi.
 
Hao hao Asian.
Ingekuwa ya Mizimu kama Yericko Nyerere ningekushauri, ila hizi doni zinazohubiri ubaguzi, kukataza kula hiki ila kula kile, sijui wewe unampa mwenzio jina baya etc ni upuuzi mtupu.
 
Kwanza serkali irudishe shule zote za dini ilizotaifisha miaka ya 70 kwani sasa zimekuwa za hovyo kabisa.
Hazikuwa za dini bali wamiliki wa hizo shule walikuwa na dini na zilikuwa zikifundisha watoto wa walio na dini na wasio na dini
 
uwe na ufahamu si wote ni wafuasi wa papa, wengine hawamjui papa ni nani na hawamtambui. Jikite kwenye mada
Kama ww sio mfuasi wa papa na haumtambui, mbona upo unajivunia ufaulu wa shule zinazo milikiwa na taasisi anayo iongoza? kwanini usijivunie shule za warokole wenzio?
Unaweza kunitajia hata shule moja inayo milikiwa na warokole wenzio iliyo fanya vizuri kuzidi hizo shule za waislam unao wakejeli?
 
shule zipi za 'warokore' unazozijua zimefanya vibaya?
 
Hao hao Asian.
Ingekuwa ya Mizimu kama Yericko Nyerere ningekushauri, ila hizi doni zinazohubiri ubaguzi, kukataza kula hiki ila kula kile, sijui wewe unampa mwenzio jina baya etc ni upuuzi mtupu.
Kuna dini ya mizimu? Au tamaduni
 
Zile shule zinafanywa vizuri kwasababu ya jinsi zinavyoendeshwa, serikali ikizitaifisha zitakufa kwasababu serikali ina mambo mengi haina umakini.

Chukua mfano tengeru boys, inafanyia interview wanafunzi zaidi ya 10,000 lakini inachukua wale 200 bora tu.

Sasa serikali ikiigia hapo, si itakuwa inasajili wanafunzi wengi bila kujali ubora ili iogeze mapato?
 
Makafiri bwana paukwa pakawa ndeeefu ya kipuuzi 😆😆😆😆😆😆😆
 
Hao wengine si waige kila kinachofanyika kwa Wenzao wanaofanya vizuri?.
 
uwe na ufahamu si wote ni wafuasi wa papa, wengine hawamjui papa ni nani na hawamtambui. Jikite kwenye mada
Sasa kama mtu jambo dogo kama hili anashidwa kuelewa ataweza kuelewa Simulteneous Equation kweli?
 
Wew kitabu chako cha civics kilichanwa na watoto wa madrasa unakasirikia dini nzima upapa huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…