Acheni propaganda za wazungu hakuna corona duniani ,hayo ni mafua tu yataisha.
Wewe nani unaemjua kafa kwa korona?Jidanganye, labda haijampata mmoja wenu katika familia ama jamaa. Tatizo lenu mpaka kiongozi atangaze ndio mshituke,,na mtakufa sana msipojihadhari,,tena ngozi nyeusi ndio wanakufa zaidi kuliko white.
HahahahahahahahaaKuna mashine ya mvuke unawekewa ila kiloki kiking'ang'ania una CPwaa
Wewe nani unaemjua kafa kwa korona?
Yeye anapambana kwa kijificha, sisi tujifiche wapi? Ikipamba mot anajificha machakani, ikipoa anarudi. Analetewa kla kitu kwa fedha zetu, maisha kama kawaida kwake, Sisi tujifiche wapi?Watanzania tusipende kuiga kila kitu, sisi tupambane na Flu na kikohozi na tuwaache wazungu wapambane na Corona.
Kiukweli siyo jambo jema kuvamia vamia chanjo kwa sababu maradhi ya mzungu ni tofauti na yale ya waafrika kiutabibu so ni vema tukachukua tahadhari pasipo kujengeana hofu kwani hofu ndio iletayo mauti ya roho na mwili.
Unadhani kwanini wazungu hawafi kwa ukimwi?
Je, wamechanjwa?!
Maendeleo hayana vyama!
kwa hiyo? conclusion yako ni ipi?Corona inayochagua watu wenye umri mkubwa! Tutafakari kwanza je rais akitoa tamko tukae majumbani itakua dawa?
Km ni ugonjwa wa maabara hata huko majumbani utatufuata.
Mbona hao wanaojifungia tokea umeanza mpka leo bado unawaua?